Hapo hamna yoyote anayefaa, TUMBILI kwa mbaaali, ila mtu sahihi no BALOZI WA CUBA HAMPHRAY POLEPOLE
Huyu ndio mwenye unafuu kwa sasa labda mwingine hapo mzee Lukuvi



View: https://youtu.be/aFEjPE-CNpA?si=g5ScUHPl6LsR9QD-
Polepole ndio haswaa anafaa sana Kuwa Katibu Mkuu CCM

Wamrejeshe aje asaidie chama kwa sasa


Hapo arudishwe H.pole pole
Nami kwa aslimia kubwa naona huyu ndio sahihi kwa sasa
 
Wampe Prof Janabi
 
david kafulilia anafaa sana.kichwa hiki
 
Huyu ndio mwenye unafuu kwa sasa labda mwingine hapo mzee Lukuvi




Wamrejeshe aje asaidie chama kwa sasa




Nami kwa aslimia kubwa naona huyu ndio sahihi kwa sasa
Humphrey bado ana influence na trust kwa wananchi, He is good to serve that position
 
Kafulila na Shaka yoyote anatufaa,
 
Hapo mwenye ubavu wa kushawishi ni kafulila hao wengine afadhari ya nchimbi

NB CCM haihitaji katibu mkuu kushinda uchaguzi hapo anatafutwa mtu asiyetishia maslahi ya mwenyekiti kwenye mbio za uraisi
Mimi naona , Kafulila apitishwe atafaa
 
Kwani makonda ni mwanafunzi bora? Hizo nafasi hakuna kilaza 😂
Hawajali professionalism siku hizi as long as unamtaja sana mama na unahusika kwnye genge utalamba tu guaranteed!
 
Mie naitwa Madava Kirumbi's Ijjah
haya mlosema nimeficha ID hiyo apo CCM kazi kwenu
 

​
Hawa wengine cjui hata ubunge kama watapata! Bibi Tukinao kawakalia kooni 😂
 
Two mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…