Wakuu this is not fair. Mnamuumiza sana mjane. Hakuna anayejua nini kilitokea. Tusubiri.Kuwa Mze kisha unakuja kuoa vitoto vya bongo fleva ama bongo movie ni kujipa stress tu. Jacky is not a wife material at all.
Mke wa kwanza wa Mengi ni marehemu...na walishA malizana na Mengi kitamboooo..Hiyo Kesi itaisha haraka Sana kwasababu Mke mkubwa wa Mengi marehemu ana haki kuliko huyu Kylin aliekuja Mali zikiwa zimechumwa Tayari. Kylin hapewi kitu wale watoto watapewa wakapewa kiasi Kwa huruma ya watoto wakubwa Wa Mengi
Na kama aliandika wosia je itakuwaje?,,
Wosia unaweza kutenguliwa mahakamani?,, maana waweza kuta Jack alimshawish mzee aandike wosia hawa wanawake wa mjini janja janja kweli na ukizingatia Mzee alikuwa anamuelewa sana sana.
Mm naona kunaweza zuka kesi kubwa tu hapa .
Marehemu hana hakiWosia unaweza kubatilishwa kama hautendi haki Kwa Mwanamke mkubwa yaani Mama Mercy Mengi . Ukumbuke inavyosemekana Yule mama alikuwa na Kesi ambayo haijaisha na alikuwa anadai 75% ya Mali zote ziwe zake na kabla Kesi haijaisha mauti yakamkuta. Kwasababu Yule mama ameshiriki kuanzisha na kuikuza IPP . Kwa upande wa Jack Hali itakuwa ngumu bado kwake pamoja na ujanja wake wale watoto wakubwa wataidai Mali ya mama Yao lazima. Ukumbuke na watoto wale wameshiriki kuitumikia hiyo kampuni ya IPP toka ujana wao mpaka leo ni wazee nao.wamezaliwa na kulia na kuzeekea kwenye kampuni ya IPP group
Ku cheatiwa sio pesa.Ndio maana sitaki kuoa kwa upuuzi kama huu..
Yaani Mengi na hela alizokuwa nazo bado anachitiwa..vp kuhusu watu wa hali ya chini
Hata Ile tuu Jackylin kupewa awe msimamizi wa mirathi ni kitu kisichowezekana. Haijui hata kampuni inaendeshwaje. Wale watoto wakubwa ndio wamekuwa wakisimamia hiyo kampuni Kwa miaka mingi. Mzee alikuwa ni mmiliki. Wale wakubwa wananguvu ya kuihodhi mpaka sasa wao ndio wanaisimamia Kwa mda mrefu. Jack ajiandae kaisaikolojia kwamba yeye hautakuwa miongoni mwa warithi. Watoto wa Jack wanauhakikia wa kupewa chochote Katika hiyo maliNa kama aliandika wosia je itakuwaje?,,
Wosia unaweza kutenguliwa mahakamani?,, maana waweza kuta Jack alimshawish mzee aandike wosia hawa wanawake wa mjini janja janja kweli na ukizingatia Mzee alikuwa anamuelewa sana sana.
Mm naona kunaweza zuka kesi kubwa tu hapa .
Mwenye picha ya kipindi Jack akiwa na ujauzito aniwekee hapa .Tafadhali
Enzi za urafiki wao Rita na jackView attachment 1091355
Bongo patam japo maisha magumu, umbea tu unaweza nenepa... [emoji28] [emoji28]
Mkuu kwani muda huu wewe unatafuta pesa?
Na vp unatafuta nini huku?
Ningekua namiliki mtandao wa simu mngekomaKwakweli leo mambo ni mengi...sikia
. Msiba wa Mengi
. Hussen na Jmengi
.Gwajima
.Liverpool kumchakaza Barca
.Mdude Nyangali
Yaani mpaka nashindwa nishike lipi niache lipi
Mange ametesa familia nyingi hadi nyumba nyeupe!Kwa haya yanayoendelea basi kuna siku zitatolewa picha na video za ajabu nchi itikisike. Dah Mange Mungu anakuona
Ila baba askofu kanikera sana sijui alikula maharage ya wapi yule
Yaani zile dakika 2 ndio anaunguruma vile kweli?
Ila inawezekana wanamsingizia tu pale alikua anayatoa mapepo ya yule dada ndio maana alikua ananena kwa lugha.
Hata Ile tuu Jackylin kupewa awe msimamizi wa mirathi ni kitu kisichowezekana. Haijui hata kampuni inaendeshwaje. Wale watoto wakubwa ndio wamekuwa wakisimamia hiyo kampuni Kwa miaka mingi. Mzee alikuwa ni mmiliki. Wale wakubwa wananguvu ya kuihodhi mpaka sasa wao ndio wanaisimamia Kwa mda mrefu. Jack ajiandae kaisaikolojia kwamba yeye hautakuwa miongoni mwa warithi. Watoto wa Jack wanauhakikia wa kupewa chochote Katika hiyo mali