Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Alimchagua Jackie kati ya wanawake milioni, akasema huyu ndie nitamaliza nae umri wangu uliobakia na kweli ndoto zake zimetimia, sasa wenye chuki mnamtolea macho mjane na maskendo kibaooo me nawapa pole sababu Mungu yupo upande wa wajane siku zote.
Lkn kusema ukweli kwa hali aliyokuwa nayo mzee wake siku za hv karibuni sidhani km alihitaji kuwa mtu wa safari sana, alitakiwa apumzike tu.Hivi huyu bidada alishawahi kwenda Machame hata kusalimia?
Sidhani kama huyu dada kama anamaelewano mazuri na watoto wa mke mkubwa.
Binafs huwez niambia Jack n mwanamke wa thamani ,angekuwa wa thaman asingekubal swaga za Mzee . Huyu alimpendea mzee wetu mali
Duuu nimetetemeka ghafla
Nimemchukia huyo mwanamke
Kuna watu wanapenda sana kuonana mwingine akianguka na kupata shida..
Yani hapa wanachotaka kuona Jackie ananyimwa urithi na kufukuzwa..huu ni ushetani
Nadhani kisheria wataangalia je kuna kilichoongezeka tangia Mzee Mengi aoane na Jack na kama kipo je Jack ana mchango wowote chanya katika ongezeko hilo na kama ni hivo basi nae anafungu lake... Mwisho wa siku Mzee Mengi sio mjinga mtu aliyemzalia kama Jack tena mapacha asiache wosia wowote ambao utampa Jack kamgaoKwani klyin ana haki gani . Unajua Mali yote kaikuta . Mali yote alitafuta Mzee Mengi na Mkewe mkubwa ambaye ni marehemu na pia hao watoto wake wakubwa wemefanya kazi ya kuikuza hiyo kampuni ya Mzee Mengi . Kylin asubiriage huruma ya wale watoto mapacha. Yeye Kylin Hana chake
Lkn kusema ukweli kwa hali aliyokuwa nayo mzee wake siku za hv karibuni sidhani km alihitaji kuwa mtu wa safari sana, alitakiwa apumzike tu.
Haya mambo ya matanuzi ya kijinga ndio gharama yake hiyo sasa, mke hakujali afya ya mme wake.
Matokeo yake huyu dada ndio anapata kila aina ya lawama.
Dada yule ni gogo hata kupapasa hajuiHiyo ndo hata kukata kiuno hajui(gogo)?
Nilichouliza mwanzo pale juu ni kuwa hata kama Mzee Mengi alikuwa akichitiwa na Jack na Mzee kashafariki na hadi umauti unamkuta bado Mengi na Jack walikuwa wana ndoa halali basi vyovyote vile Jack nae ana haki yake... Kitendo cha Jack kumcheat Mzee hakimpokonyi haki yakeKama tu mmechuma wote, ila kama umevikuta, hupati
Duh! Waziri kijana!
Mange habari zake huwa ni za kweli 97%mi nilijua tu mange kuna kaukweli alikaanika kuhusu jacky na bado yatakuja mengi
Hivi nyinyi hamuoni hii kama ni muvi hii inaonekana familia ya mzee inataka imuondoe kwenye urithi huyu dada hii picha ni ya zamani sana kabla hata smartphone hazijaingia hiyo ni nokia90 nakumbuka nilikuwanayo ilikuwa inatoa picha kama hizo kabla hajawa na mengi
Hivi nyinyi hamuoni hii kama ni muvi hii inaonekana familia ya mzee inataka imuondoe kwenye urithi huyu dada hii picha ni ya zamani sana kabla hata smartphone hazijaingia hiyo ni nokia90 nakumbuka nilikuwanayo ilikuwa inatoa picha kama hizo kabla hajawa na mengi
Mwansume kama unaoa sawa, ila at 50 unatakiwa uanze kujiandaa kuwa mbalu na mwenzi wako ili uwe huru zaidi katika shughuli zako.kwanini mzee unaoa binti mdogo vitu vingine wanaume tunajitakia.
tunajua kabisaa kumridhisha ni ngumu kuoa binti mdogo ni ubinafsi nakumtesa huyoo binti kwa manyege.
Nilichouliza mwanzo pale juu ni kuwa hata kama Mzee Mengi alikuwa akichitiwa na Jack na Mzee kashafariki na hadi umauti unamkuta bado Mengi na Jack walikuwa wana ndoa halali basi vyovyote vile Jack nae ana haki yake... Kitendo cha Jack kumcheat Mzee hakimpokonyi haki yake
Kama angempenda na kumlea mzee kwa moyo wake wote haya yasinge fika hapa.Kuna watu wanapenda sana kuonana mwingine akianguka na kupata shida..
Yani hapa wanachotaka kuona Jackie ananyimwa urithi na kufukuzwa..huu ni ushetani
Kama angempenda na kumlea mzee kwa moyo wake wote haya tasing Edina hapa.
Na kumbuka ukaribu aliupata kupitia huyohuyo madaamu!Angebaki na madan Rita
Kupenda ama kutokupenda kuko moyoni mwa mtu..mmejuajeKama angempenda na kumlea mzee kwa moyo wake wote haya tasing Edina hapa.
Ba yuda atakufa lini?Huyu kaka ndo Hussein au?[emoji3]..mji mzito huu jamanii.