PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Kheri ya mwaka mpya babuπŸ’
 
Kabisa aisee! Nimecheka sana leo.

2006 Nipo humu nagombana na akina Raj Patel na Nyama Hatari, Leejay49 yeye anafyonza pacifier na kunywa juisi kwenye sippy cup 🀣.
🀣🀣🀣🀣 Alafu wanatuambia eti tafuta pesa, watoto hawa hawana adabu kabis.
2006 mie nipo kandahar nahangaika na mataliban🀣🀣🀣🀣
 
Nilikua naitwa ndiyomtam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…