PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Dan Kilingeni Msata nalisongesha.. Nilikuwa faya mno kwa tiba za ukagugi wa kienyeji😀 hata siamini kabisa ndio mimi wa sasa wa never miss church😉
Yeah Na mimi Nimeshangaa Sana Umebadilika Mungu Kakuokoa 😅😅
 
Wengine tulianzia Jambo Chat.

Tumetoka mbali sana na kijana Maxence Melo
 
Hapa internet ilikua ya kuifungia safari kabisa, nilikua UDSM mwaka wa TATU. Nilikua natumia internet ya cable zile, LAZIMA uwahi kuipata cable uchomeke upate internet. Kuna watoto hawaelewi ninachosema.
 
Wapi nimelazimisha unijue! Mimi nimesema nilikuwa nafikiri wewe ni Ke!
Umeandika hivi “ Aisee...Mimi siku zilite najua wewe ni dada”.

Umetumia neno “najua”. You don’t know me from a can of paint.

Hivi huko mtaani hutongozwi mpaka uje kutafuta attention kwangu?

Peleka bunyero lako huko. FOH.
 
Khe Wakongwe
 
Nilikuwa shule ya msingi huko hata simu siijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…