Yeah humu kuna watu wazima sana aisee,.😀😀😀Moderator wawawekee vitufe special vya kuwatambua kma ni kundi maalumu lenye kuheshimika
Japo mm wanaweza kuwa babazangu babaang kastaaf 2006 akiwa na miak 55
Soma post #282 hapo 😂😂😂Yeah humu kuna watu wazima sana aisee,.
Mods wawawekee utofauti tusije kutukana wazazi tulaanike😃
DAh😄😂😂Chaajabu saiv unamilik maex wengi kuliko dada zako wa tisini, nabarabara imekua highway with four ways
Nitakupeaje na mimi nitakua wakiume🤓😂Jirani si utanipea 😹
Kabisa ,kuna Hi5,bongocelebrity,darchat na kulikuwa na blogspot za kutosha enzi hizo.Watu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele huko
Ova
Hahah,. Kwanini ulikimbia sasa😄😂Mkuu DR Mambo Jambo umekumbusha vitu vingi sana aisee ni kweli huu mtandao tuna kila sababu ya kujivunia cha nyumbani 😀😀😀
Mijadala ya nyakati zile ilikuwa ni moto kweli na enzi nilikuwa sijapevuka vya kutosha miaka 23,24 hivi. Nakumbuka kuna kigogo mmoja wa kuitwa Barubaru aisee huyu ni mtu mzito sana hauwezi kudhania nilikuwa namchokonoa na hoja mbovu mbovu mimi na Baba Mchungaji Masanilo.
Kuna siku akajitambulisha yeye ni Dr wa Uchumi na Fedha na anafanya kazi Gulf Oils huko duniani akatoa na contacts zake za Tanzania na kwao ni Zanzibar, Mimi nilikuwa kule nikapiga zile namba na alipokea Mpambe wake akanipa direction alipo aisee nikaenda pale Serena Hotel nilikutana na Makomandoo wa JWTZ wanapalinda na alikuwa na kikao na Mheshimiwa mkubwa sana wa Serikali. Aisee mbona nilikimbia 🤣🤣🤣
Kuanzia siku ile nikajifunza adabu humu mitandaoni sio pakuchukulia poa.
😀😀😀Hahah,. Kwanini ulikimbia sasa😄😂
Ungebaki tu muyajenge,. Ungeshapata teuzi na wewe
Nimemaliza ya primary naifukuzia sec, age mate we tutaongea vzurDuuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiachana na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
Ona sasa,. Saizi ungekuwa mbali sana😄😄😂,.😀😀😀
Akili zilikuwa hazijaiva aisee, vitengo vingi nilikuwa naombwa niajikiwe aisee. Maana watu wa IT enzi zile kule walikuwa hawajiwezi kabisaa
Weee,. Means 2006 ulikua ushamaliza primary?.Nimemaliza ya primary naifukuzia sec, age mate we tutaongea vzur
Napenda uhuru zaidi kuliko kutumwa na mtu. At that alikuwa ni Mkurugenzi wa fedha na Utawala Gulf Oils huko United Arab Emirates. Achana naye nadhani hata namba yake ya Zantel iko PMOna sasa,. Saizi ungekuwa mbali sana😄😄😂,.
Em nitajie kwan i'd yake mie nikalambe asali,. Usishindwaje kuitumia fursa🤓
2009 ndo namaliza shule ya msingi 2013 sec, adv 2016. Yah sio mbali ila nishakuzidi kubali kwanza😂😂😂😂Weee,. Means 2006 ulikua ushamaliza primary?.
Lakini bora wewe hujanizidi parefu
Ona sasa kunibania riziki🧐,.Napenda uhuru zaidi kuliko kutumwa na mtu. At that alikuwa ni Mkurugenzi wa fedha na Utawala Gulf Oils huko United Arab Emirates. Achana naye nadhani hata namba yake ya Zantel iko PM
Sawa nimekubali😄😃2009 ndo namaliza shule ya msingi 2013 sec, adv 2016. Yah sio mbali ila nishakuzidi kubali kwanza😂😂😂😂
Basi tusaidiane kutafuta mademu 😹😹Nitakupeaje na mimi nitakua wakiume🤓😂
Chamsingi wawe mademu wenye hela tu, hoe hae siwataki🤒Basi tusaidiane kutafuta mademu 😹😹
Ukiwapata wawili unanipasia mmoja mwanangu.!!
Ahsante, na karibu.Sawa nimekubali😄😃
ThanksAhsante, na karibu.