PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Ujue Tatzo la bongo ni moja watu wana kuuliza kazi yako, πŸ‘‰umri, πŸ‘‰elimu yako, πŸ‘‰na mahali unapoishi Iliwaamue ni heshima kiasi gani? wanatakiwa wakupe πŸ˜…the only solution ni kuweka password kweny hivo vitu
Yeah ni kweli
 
2013 Uko STD 6 🀣🀣
Dah Kweli Nimezeeeka πŸ˜€
Sikuizi nitakua before nijibu comment ya mtu inabidi nizame kwanza mwenye profile yake nione amejoin mwaka gani,. Nisije kubaruzana na mzazi nipate laanaπŸ€’

Em niambie kwanza 2013 we ulikuwa wapi mkuuπŸ˜„πŸ˜‚
 
Miaka hiyo ndio Wanaijeria wanaanza utapeli wa e-mail wakidai kuwa kuna mali za urithi n.k; hata nikaachana na Hotmail nikahamia Yahoo
Kuna Internet cafe moja ilikuwa pale mansfield Street jirani na forodhani humo walikuwa wanajaa wanaija balaa matapeli watupu

Ova
 
Sikuizi nitakua before nijibu comment ya mtu inabidi nizame kwanza mwenye profile yake nione amejoin mwaka gani,. Nisije kubaruzana na mzazi nipate laanaπŸ€’

Em niambie kwanza 2013 we ulikuwa wapi mkuuπŸ˜„πŸ˜‚
Nilikuwa Natimiza Miaka 10 Tangu Niajiriwe..
Maana Nimeajiriwa Mwaka 2003 Tarehe 26 Mwezi wa 10 Mkoa wa Morogoro.. Hii Ndo ajira yangu ya kwNza Kabla sijahama hama Sehemu mbalimbali na Hatimae Nipo Sehemu X sasa Hivi

Jf Nilijiunga Tangu mwaka 2006 ila Avcount yangu Ilipigwa Ban πŸ˜…πŸ˜… nikafungua nyingine 2012 Nilikuwa mtukutu Enzi hizo..
(Si unajua jf ya Kipindi Kile ilikuwa Siasa sana)
 
Muheshimiwa, hebu tupo nondo. Hiyo darhotwire ilikuwaje kuwaje? we
Ilikuwa unaji register mna chat tu
Sema asilimia kubwa watu mule walikuwa wabongo wako nje...hata mimi nlijiunga huo mtandao nlipokuwa poland
Namkumbuka member mmoja anaitwa hardlife πŸ˜„ alafu kuna member mmoja nlikuja mpaka kutana naye bongo alikuwa mdogo wake marehemu amina mongi Pascal Mayalla
Darhotwire naona walishindwa kujiongeza

Ova
 
Heshima yako mkuu,. Laah πŸ€”πŸ€”

Sema zamani mlikua mnaajiriwa mkiwa bado wadogo,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…