BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Ah yani wewe na mshamba_hachekwi mnalingana, nyie ni watoto wa JF 😂ILa wewe 2013 mie niko S.t.d 6,. Wewe age mate kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah yani wewe na mshamba_hachekwi mnalingana, nyie ni watoto wa JF 😂ILa wewe 2013 mie niko S.t.d 6,. Wewe age mate kabisa
Yeah ni kweliUjue Tatzo la bongo ni moja watu wana kuuliza kazi yako, 👉umri, 👉elimu yako, 👉na mahali unapoishi Iliwaamue ni heshima kiasi gani? wanatakiwa wakupe 😅the only solution ni kuweka password kweny hivo vitu
Hakunaa😂😄,. Kuna watoto humu sema tu ndio hivyo hatuwezi kusema na heshima waliyojijengea tutawaharibia🤒😂Ah yani wewe na mshamba_hachekwi mnalingana, nyie ni watoto wa JF 😂
2013 Uko STD 6 🤣🤣Taratibu basi wasije wakasikia🤒😂
ILa wewe 2013 mie niko S.t.d 6,. Wewe age mate kabisa
Hahaha akina BolotobaHakunaa😂😄,. Kuna watoto humu sema tu ndio hivyo hatuwezi kusema na heshima waliyojijengea tutawaharibia🤒😂
Dokta mie 2013 niko form FOO.2013 Uko STD 6 🤣🤣
Dah Kweli Nimezeeeka 😀
Imebidi nicheke, 96 mama yupo III🤣🤣🤣 huyo tulicheza nae ile michezo mkuu!1996 mama yangu ndo yupo form 3
Sikuizi nitakua before nijibu comment ya mtu inabidi nizame kwanza mwenye profile yake nione amejoin mwaka gani,. Nisije kubaruzana na mzazi nipate laana🤒2013 Uko STD 6 🤣🤣
Dah Kweli Nimezeeeka 😀
wewe mbabu unajisahau sana😂Imebidi nicheke, 96 mama yupo III🤣🤣🤣 huyo tulicheza nae ile michezo mkuu!
Mmh,. Ila nyie 🤔2006 cha mtoto mbona.
Watu tumeanzia Nyenzi.com huko miaka ya 1995/96.
Muheshimiwa, hebu tupo nondo. Hiyo darhotwire ilikuwaje kuwaje? weWatu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele huko
Ova
😂😂kuna lecturer alishawahi kusemaga hilo class.🤣🤣🤣Huku JF mwanafunzi anaweza kubishana na lecturer wake bila ya kujua alafu wakakutana chuoni na kuzungumza fresh tu kama vile hawakubishana.
Kuna Internet cafe moja ilikuwa pale mansfield Street jirani na forodhani humo walikuwa wanajaa wanaija balaa matapeli watupuMiaka hiyo ndio Wanaijeria wanaanza utapeli wa e-mail wakidai kuwa kuna mali za urithi n.k; hata nikaachana na Hotmail nikahamia Yahoo
Nilikuwa Natimiza Miaka 10 Tangu Niajiriwe..Sikuizi nitakua before nijibu comment ya mtu inabidi nizame kwanza mwenye profile yake nione amejoin mwaka gani,. Nisije kubaruzana na mzazi nipate laana🤒
Em niambie kwanza 2013 we ulikuwa wapi mkuu😄😂
Ilikuwa unaji register mna chat tuMuheshimiwa, hebu tupo nondo. Hiyo darhotwire ilikuwaje kuwaje? we
Heshima yako mkuu,. Laah 🤔🤔Nilikuwa Natimiza Miaka 10 Tangu Niajiriwe..
Maana Nimeajiriwa Mwaka 2003 Tarehe 26 Mwezi wa 10 Mkoa wa Morogoro.. Hii Ndo ajira yangu ya kwNza Kabla sijahama hama Sehemu mbalimbali na Hatimae Nipo Sehemu X sasa Hivi
Jf Nilijiunga Tangu mwaka 2006 ila Avcount yangu Ilipigwa Ban 😅😅 nikafungua nyingine 2012 Nilikuwa mtukutu Enzi hizo..
(Si unajua jf ya Kipindi Kile ilikuwa Siasa sana)