PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Ulikuwa mtandao wa habari lakini pia una chatrooms, yahoo walikuwa nayo pia...

Unaingia chatroom, unakuta kuna raia wapo tayari kuchat unaanzisha maongezi...

"ASL" wakongwe watakumbuka hii 😂
Hiyo ikifuata baada ya salami "Hi".
ASL = Age, Sex, Location.
Ukipata wa kutoa majibu yote matatu shukuru, na chat inaniga sana
 
Kipindi hiko ndo niligundua intanet kwenye zile Nokia zenye GPRS! Ila nilipendelea magemu tu. Jamii nilikuja kuisikia mwka ya 2010, na hapo unaambiwa magenius tu, na wanasiasa wanashiriki
 
Hivi ilikuwa mwaka gani?,uenda wengine tulikuwepo lkn hatukuwa japo na kiswaswadu!!,
 
Kuna moja hili nilipita kuchek naona kina mbowe, mnyika, kitila mkumbo 2006 kabisa walikuwemo wakitumia majina yao halisi😅Sasa nawaza mtu mzima mbowe Sasa hv anatumia Jina gani?
Kaka tuchati pm 🤣🤣🤣
 
Kuna moja hili nilipita kuchek naona kina mbowe, mnyika, kitila mkumbo 2006 kabisa walikuwemo wakitumia majina yao halisi😅Sasa nawaza mtu mzima mbowe Sasa hv anatumia Jina gani?
Kaka tuchati pm 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…