Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Nikikuambia unijengee self ya room tatu moja master, yenye public toi moja, jiko na dainning kwa pamoja.

Ukubwa wa room ft 9*9
master room ft 10* 12 plus toi

Sebule ya ft 12*12

Daining na jiko ft 9*9

Itapiga kwa bei gani nipo chuga,

Nb. rangi ntakuambia ya kupaka baadae
 

Attachments

  • Screenshot_20250722-215154~2.jpg
    48.3 KB · Views: 17
Asante mkuu Kwa swali lako.
Maelezo yako nisamehe kama sijakuelewa,
naomba ufafanue zaidi hapa unaposema "nyumba vyumba vitatu self" (Kwa kawaida hapa vyumba vyote viwe na vyoo ndani) sahihi?
 
Kama hautajali unaweza kunipa mchoro wa nyumba Yako nikupigie hesabu halisi. Ndiyo hiyo kwenye picha?
 
Naweza kukuchorea ramani pia mkuu Kwa maelezo yako ukiyaweja sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…