Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada


Tiles!
Kesho ni Grauti
 
Your browser is not able to display this video.
 
Skiming somewhere
 
Kuna hii ramani nimeichora na kufanya mahesabu mpaka kupau bati.
Ni 2 Bedrooms (Chumba Kimoja ni Master)
Public Toilet, sebule na sehemu ya kitchen Kwa pembeni.

Hesabu zake kuanzia Msingi mpaka kupiga bati ni 8 millions!
Hesabu hiyo imejumuisha material yote na Hela ya ufundi.

Hesabu za Madirisha na Milango, Plasta nk hazijawekwa hapo. Ni hesabu za kujenga na kupiga bati.
 
Kiwanja chako kama ni 20x20 hiyo nyumba inatosha vizuri kabisa
 
Kabla ya kuanza kazi ilikuwa hivi, nicheki nikung'arishie ukuta wako Kwa Skiming za aina zote
 
Kumbe hakuna jipya chini ya jua bwana 🤣 hii kazi niliifanya miezi kadahaa nyuma, halafu Leo nimeona picha Moja kutoka makumbusho ya majimaji Songea, kazi kama hii hii bila shaka ilifanyika miaka ya 1910 kabidi nirudi hapa kwenye Uzi wangu

Itabidi baadae nikitulia nipost kazi zangu nyingine
 
 

Attachments

  • 1763412228456.jpg
    491.7 KB · Views: 14
Ratiba zinabana Sana mpaka nakosa muda nasusa Uzi wangu
 
5Star Gate.

Umejenga nyumba nzuri, kaliii, ila mtu akifika getini kubovu.
Nicheki nikujengee geti kali.
 
nilipata 'ndondo" Bungoni Ilala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…