Kuja PM ni option. Lengo ni kuunganieha nguvu kumdhibigi huyu mtu, Kwasababu ametapeli watu wengi mnoooo.Kakutapeli? Kwanini mtu aje pm? Au unataka aje huko umtapeli zaidi
Mkuu ukiwaita PM hawatakuja. Hiyo nguvu unganIsheni tu hapa kila mtu atawasupport. Muwe kama wale wanaobet, code wanashare kwa wote ili akipigwa mmoja wanapigwa wote. PM HUKO SIYO MAHALI SAHIHIKuja PM ni option. Lengo ni kuunganieha nguvu kumdhibigi huyu mtu, Kwasababu ametapeli watu wengi mnoooo.
Na imagine mtu mwenye wafanyakazi Jiji zima?
Kwahiyo ni maamuzi tu.
Kwahiyo unataka watu waweke namba zao za simu au documents hapa kwenye Uzi?Mkuu ukiwaita PM hawatakuja. Hiyo nguvu unganIsheni tu hapa kila mtu atawasupport. Muwe kama wale wanaobet, code wanashare kwa wote ili akipigwa mmoja wanapigwa wote. PM HUKO SIYO MAHALI SAHIHI
Wewe umetapeliwa pekeyako. Huko igudija, kisesa hakuna dalali au mtu wa aina hiyo. Isijekuwa umekuja kutafutwa vichwa hapaKwahiyo unataka watu waweke namba zao za simu au documents hapa kwenye Uzi?
Au unasemaje tuunganishe nguvu wakati ndio nipo kwenye hatua za kutafutana na kukusanyana?
Sheria zote zinalinda Matapeli ndio maana Wana uhuru mkubwa sana.
Kufanya nini tena mkuu?njoo PM
Lengo ni kuunganisha nguvu.Kufanya nini tena mkuu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lengo ni kuunganisha nguvu.
Kwasababu huyu mtu anachofanya ni kutapeli watu. Akikamatwa anaahidi kulipa kidogo kodogo. Anaenda kutapeli watu wengine analipa kidogo halafu anaendelea hivyo hivyo.
Vile vile ana siku zake za kwenda kuripoti polisi na Mahakamani. Hivyo inasaidia kwa wale wenye RB naue wakijua ratiba zake.
Umenielewa?
Duuh...! Kampiga na mother? Huyo balaaMtu kamtapeli mpaka mama yake sembuse watu wengine[emoji38]
Mama yake hana hamu nae kabisa sema ndio vile uchungu wa mwana
Akili yangu nzito lakini sijatapeliwa. Wewe mwenye akili nyepesi unakuja kulia lia hapa JF. Unasema anatapeli watu na anahonga vyombo vya kisheria, unauhakika au ushahidi wa hilo? Kwanza unatapeliwaje dunia ya leo? Utakuwa umetokea wapi wewe umeingia kichwa kichwa mjini ukapigwa.Wewe ni Msukuma??
Mbona akili yako nzito sana!!
Kama utakuja kununua eneo hasa mini mikubwa, ni 98% hili tatizo litakukuta.Nataka siku moja nami nitapeliwe kama wenzangu kuhusu haya mambo ya viwanja,nadhani nitaweka historia ambayo kila tapeli ataogopa na kuanzia hapo utapeli utaisha kabisa!
Unamfahamu huyu mtu?Mtu kamtapeli mpaka mama yake sembuse watu wengine😆
Mama yake hana hamu nae kabisa sema ndio vile uchungu wa mwana