MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubinadamu kwa mtu asiye binadamu.Ndio tunakoelekea. Kiubinadamu nadhani hili ni chaguo la mwisho.
Mkuu nina viwanja 2,kimoja ndo ninaishi kingine bado sijajenga na utaratibu wangu huwa ni huo huo ninapotaka kununua uwanja!Kabla sijakujibu nikuulize maswali manne:
- Uko Tanzania?
- Umewahi kununua ardhi, nyumba au pagale Tanzania?
- Umewahi kufika Halmashauri idara ya ardhi au Wizara ya ardhi, Tanzania?
- Unaijua sheria ya madai Tanzania?
Mkuu watanzania wengi wanapenda shot cut ndiyo maana wanatapeliwa!Wengi wanataka vitu rahisi ndio tatizo
Hebu nieleze kwa hizo hatua hapo juu natapeliwaje?Kabla sijakujibu nikuulize maswali manne:
- Uko Tanzania?
- Umewahi kununua ardhi, nyumba au pagale Tanzania?
- Umewahi kufika Halmashauri idara ya ardhi au Wizara ya ardhi, Tanzania?
- Unaijua sheria ya madai Tanzania?
Kufanya nini?.
Kama umewahi kuuziwa eneo na mtu huyu, njoo PM.
Goba na ArushaHivyo viwanja viko wapi?
Kwa hatua hizo hapo juu huwezi huziwa uwanja uliokwisha uzwa!,Haiwezekani vinginevyo viongozi wote hao kwenye kila hatua wataishia mahakamaniLet's assume umefuata hatua zote hapo juu na mwanasheria, na eneo ulilouziwa ni la mhusika.
Baadaye unagundua eneo alishaliuza Tena?
Utafanyaje?
Nani alikwambia Matapeli wanaogopa Mahakamani?Kwa hatua hizo hapo juu huwezi huziwa uwanja uliokwisha uzwa!,Haiwezekani vinginevyo viongozi wote hao kwenye kila hatua wataishia mahakamani
Tatizo lako hujibu nilichokiandika!Nani alikwambia Matapeli wanaogopa Mahakamani?
Ndio maana nikakuuliza unaijua sheria ya madai?
KIBAYA ZAIDI HUWA NA UDUGU NA UKARIBU NA WATU WA ARDHI.Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.
Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.
Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.
Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela nk Wana timu ya watu.
Anatapeli watu na kuhonga vyombo vya kisheria ndani ya Mwanza na hivyo kuachiwa kila akikamatwa. Vituo vya polisi Kirumba kote anahonga.
View attachment 2775287
Kwa ulivyoeleza ni ngumu kutapeliwa, lakin kuna mteja ataletwa ambaye atataka shortcut atauziwa kiwanja chako ulichonunua na kuwaachia mgogoro.Tatizo lako hujibu nilichokiandika!
Nimekuuliza hebu fafanua namna ambavyo naweza kutapeliwa kwa mujibu wa maelezo yangu hapo juu.
Wanaotapeliwa wote ni Mazwazwa na wapumbabu wapenda vitonga