Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

Wengi wanataka vitu rahisi ndio tatizo
Kabla sijakujibu nikuulize maswali manne:

- Uko Tanzania?

- Umewahi kununua ardhi, nyumba au pagale Tanzania?

- Umewahi kufika Halmashauri idara ya ardhi au Wizara ya ardhi, Tanzania?

- Unaijua sheria ya madai Tanzania?

Quote
 
Mkuu nina viwanja 2,kimoja ndo ninaishi kingine bado sijajenga na utaratibu wangu huwa ni huo huo ninapotaka kununua uwanja!
 
Kabla sijakujibu nikuulize maswali manne:

- Uko Tanzania?

- Umewahi kununua ardhi, nyumba au pagale Tanzania?

- Umewahi kufika Halmashauri idara ya ardhi au Wizara ya ardhi, Tanzania?

- Unaijua sheria ya madai Tanzania?
Hebu nieleze kwa hizo hatua hapo juu natapeliwaje?
 
Let's assume umefuata hatua zote hapo juu na mwanasheria, na eneo ulilouziwa ni la mhusika.

Baadaye unagundua eneo alishaliuza Tena?

Utafanyaje?
 
Kwa hatua hizo hapo juu huwezi huziwa uwanja uliokwisha uzwa!,Haiwezekani vinginevyo viongozi wote hao kwenye kila hatua wataishia mahakamani
 
Nani alikwambia Matapeli wanaogopa Mahakamani?

Ndio maana nikakuuliza unaijua sheria ya madai?
 
Tatizo lako hujibu nilichokiandika!

Nimekuuliza hebu fafanua namna ambavyo naweza kutapeliwa kwa mujibu wa maelezo yangu hapo juu.

Wanaotapeliwa wote ni Mazwazwa na wapumbabu wapenda vitonga
 
Sura yake tu inaonesha ni kibaka na domo lake hilo la kigugumizi...
 
Watu wa Mwanza huwaga wana addiction ya kutapeliwa
 
kwenye awamu zetu hizi,
Vyema tapeli kama huyu mkatafuta namna ya kumaliza naye kirahisi zaidi.
Tafuteni siraha,huko kanda ya ziwa najua kwa shortcuts zinapatikana.
kuvunja mtandao wake ni ngumu, mpelekeni kwa muumba
 
KIBAYA ZAIDI HUWA NA UDUGU NA UKARIBU NA WATU WA ARDHI.
 
Tatizo lako hujibu nilichokiandika!

Nimekuuliza hebu fafanua namna ambavyo naweza kutapeliwa kwa mujibu wa maelezo yangu hapo juu.

Wanaotapeliwa wote ni Mazwazwa na wapumbabu wapenda vitonga
Kwa ulivyoeleza ni ngumu kutapeliwa, lakin kuna mteja ataletwa ambaye atataka shortcut atauziwa kiwanja chako ulichonunua na kuwaachia mgogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…