Duuuh[emoji2][emoji2][emoji2]Unamfahamu huyu mtu?
Maana mama yake nimewahi kukutana naye.
Huyo jamaa hata ukimwazima gari, akipata mteja barabarani analiuza.
Hapo ndio mfumo utamuumbua tapeli na kumsalimisha mnunuzi sababu mnunuzi atajua kwanza hiki kiwanja hakijapimwa, hakina hati ya umiliki.Hawawezi kuweka mfumo wakati hawajapima zaidi ya asilimia 98% ya ardhi
Unakuwa na mwanasheria wako unaenda hadi serikali ya mtaa na majirani unawauliza vizuri tu.Mkuu huwa nashangaa sana watu wanatapeliwaje viwanja.
Mimi kabla ya kununua viwanja lazima nifanye yafuatayo:-
1.Kuongozana na muuzaji(Tapeli)hadi wizara ya Ardhi kwenye wilaya/Mkoa husika ili kujiridhisha kama eneo limepimwa,Haliko barabarani,au siyo eneo la wazi ambalo litakuwa na matumizi ya kiserikali hapo baadae.
2.Kwenye huo mchakato wote ni lazima nishirikishe au niwe na mwanasheria muda wote.
3.Kabla ya Kununua eneo husika ni lazima huyo dalali(Tapeli) niwe nina uhakika anatambulika kihalali na serikali pia na chama au umoja wa Madalali wa Wilaya/Mkoa husika.
4.Kabla ya kununua eneo husika ni lazima nitawatembelea majirani wa hilo eneo ili kuwapeleleza na kufahamu uhalali wa hilo eneo,Majirani huwa wanaelewa sana maeneo na majirani zao wanaopakana nao.
5.Kabla ya kununua eneo ni lazima nimwambie Dalali nikutane na mmiliki halali wa hilo eneo ili nijiridhishe.
6.Mwisho kabisa,ni lazima nikutane na Serikali ya mtaa kupitia kamati ya Ardhi ya mtaa husika ili kufahamu undani wa eneo ambalo ninataka kununua.
Mkuu kwa mchakato huu unadhani ni rahisi kunitapeli?,Kumbuka mchakato huo wote ninakuwa na mwanasheria ambaye nitamlipa kwa kazi hiyo tu.
Watanzaia wengi wanaingizwa mkenge kwa kupenda mserereko na kutofuata sheria husika.
Utapeli wa ardhi hauna mahusiano na kutokujua. Unachanganyika na dhulma.Kwa ulivyoeleza ni ngumu kutapeliwa, lakin kuna mteja ataletwa ambaye atataka shortcut atauziwa kiwanja chako ulichonunua na kuwaachia mgogoro.
Viwanja vya halmashauri Bei yake nafuu, kuliko vya mitaani.Mkuu watanzania wengi wanapenda shot cut ndiyo maana wanatapeliwa!
Ardhi iliyopimwa nchi hii ni kiasi gani?Hapo ndio mfumo utamuumbua tapeli na kumsalimisha mnunuzi sababu mnunuzi atajua kwanza hiki kiwanja hakijapimwa, hakina hati ya umiliki.
Ndio maana Mimi nawaambia Hawa watu hawajui wanachosema. Nina idha hawajawahi kununua ardhi hasa maeneo ya miji.Unakuwa na mwanasheria wako unaenda hadi serikali ya mtaa na majirani unawauliza vizuri tu.
Na kupigwa unapigwa kama kawaida mkuu.,amini nisemacho.
Ok mkuu hebu nielezee hapo namna utakavyopigwa!Unakuwa na mwanasheria wako unaenda hadi serikali ya mtaa na majirani unawauliza vizuri tu.
Na kupigwa unapigwa kama kawaida mkuu.,amini nisemacho.
Mgogoro utakuwa kwake huyo aliyenunua baada yangu mkuu kwasababu mimi nyaraka zote nitakuwa nazo na hati juu!Kwa ulivyoeleza ni ngumu kutapeliwa, lakin kuna mteja ataletwa ambaye atataka shortcut atauziwa kiwanja chako ulichonunua na kuwaachia mgogoro.
Hati na documents kwa nchi hii ni vijikaratasi tu ambavyo havitaweza kukusaidia chochote.Mgogoro utakuwa kwake huyo aliyenunua baada yangu mkuu kwasababu mimi nyaraka zote nitakuwa nazo na hati juu!
Bro inshort utakavojiweka ndo matapeli watakavokuingia. Mi nna kiwanja kibaha, mapinga na Goba, kibaha na mapinga kuna utapeli wa kutisha, tapeli mmoja aliuza plot yangu cz sijaenda kusafisha wala kupaona for sometimes. Sikutaka kugombana na aliyeuziwa, kwenda polisi wa kwa mtendaji wa mtaa. Mi nlimtafuta aliyeuza nikamwambia ntakufanya usiyoweza kuhimili cz jamaa ndo tapeli mbabe maeneo yale, Akajua utani. Mwisho wa siku alimuita aliyemuuzia akamwambia usisogee kwenye kile kiwanja tena, nadhani walilipana. Kwa aliyoyaona mkewe aliamua kuondoka na jamaa utapeli aliacha.Hebu kajaribu kununua Kibaha, Mabwepande, Kivule, Kisemvule, Vikindu
sijaelewa hapo,kwa aliyoyaona KWA Mkewe au Kwa aliyoyaona Mkewe?Bro inshort utakavojiweka ndo matapeli watakavokuingia. Mi nna kiwanja kibaha, mapinga na Goba, kibaha na mapinga kuna utapeli wa kutisha, tapeli mmoja aliuza plot yangu cz sijaenda kusafisha wala kupaona for sometimes. Sikutaka kugombana na aliyeuziwa, kwenda polisi wa kwa mtendaji wa mtaa. Mi nlimtafuta aliyeuza nikamwambia ntakufanya usiyoweza kuhimili cz jamaa ndo tapeli mbabe maeneo yale, Akajua utani. Mwisho wa siku alimuita aliyemuuzia akamwambia usisogee kwenye kile kiwanja tena, nadhani walilipana. Kwa aliyoyaona mkewe aliamua kuondoka na jamaa utapeli aliacha.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Endelea kujidanganya Dalali Tapeli wewe!Hati na documents kwa nchi hii ni vijikaratasi tu ambavyo havitaweza kukusaidia chochote.
Ipo siku utajua haya mambo kwa vitendo kabisa.
Jamaa atufafanuliesijaelewa hapo,kwa aliyoyaona KWA Mkewe au Kwa aliyoyaona Mkewe?
Sasa hizo mbinu zako zisizohusu polisi na mahakamani ndio tusaidiane. Kama uko tayari nije PM.Bro inshort utakavojiweka ndo matapeli watakavokuingia. Mi nna kiwanja kibaha, mapinga na Goba, kibaha na mapinga kuna utapeli wa kutisha, tapeli mmoja aliuza plot yangu cz sijaenda kusafisha wala kupaona for sometimes. Sikutaka kugombana na aliyeuziwa, kwenda polisi wa kwa mtendaji wa mtaa. Mi nlimtafuta aliyeuza nikamwambia ntakufanya usiyoweza kuhimili cz jamaa ndo tapeli mbabe maeneo yale, Akajua utani. Mwisho wa siku alimuita aliyemuuzia akamwambia usisogee kwenye kile kiwanja tena, nadhani walilipana. Kwa aliyoyaona mkewe aliamua kuondoka na jamaa utapeli aliacha.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwahio upoteze kiwanja na Nyumba?Siku nitakayouziwa siku hiyo hiyo naanza ujenzi