Wanampinga ruto mkalenjini baada ya kumtosa mkikuyu rigathi na kushake hand na mjaluo odingaKwanini unasema ni Wakikuyu?
Kwamba uliwakagua DNA na mother tongue yao?Hao ni wakikuyu sio gen Z
Hilo tu likakufanya Oktoba utiki?Wanampinga ruto mkalenjini baada ya kumtosa mkikuyu rigathi na kushake hand na mjaluo odinga
Waombe kolabo ffu na wawaache watulize ghasia wajuavyo waoHawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
View attachment 3397352
View attachment 3397353
View attachment 3397354
View attachment 3397355
Jambo zuri,tusage mahindi tuwapelekeeBarabara zote zimekuwa blocked, Nairobi iko kimya, maduka na maofisi yamefungwa
View attachment 3397416
Usilazimishe tufanane na Kenya. Hatuwezi kufikia kiwango hicho cha HOOLIGANISM japo akina Maria Sarungi, John Heche na Tundu Lissu wangependa tufike hapoMwenzako akinyolewa zako tia maji
Huo utoto,kila mtu akiamua kuandamana kila utawala si itakua vurugu,adili na huyo ghachagua ile ki-ccmRuto achukue maamuzi ya kuachia ngazi kuokoa jahazi
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa KenyaHawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
View attachment 3397352
View attachment 3397353
View attachment 3397354
View attachment 3397355
Shida vijana wa Kenya maandamo kwa ni mtaji wa kuiba na kuvunja ma ATM.Kwamba uliwakagua DNA na mother tongue yao?