Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

Shida ya Ruto aliahidi vijana vitu vingi vizuri (bottom up)
Kisha kaingia Ikulu hakuna anachotekeleza lazima vijana wamuwashie moto. Ange practices approach ya JPM walau robo angewin ikiwemo kubana matumizi ya serikali, kusikiliza wanyonge n.k
 
Hawana cha kupoteza hao.
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
 
Ruto achukue maamuzi ya kuachia ngazi kuokoa jahazi
Hata akiondoka ruto haitakuwa ndio suluhisho ya amani ya kudumu. Unakumbuka walivyompelekesha mwai kibaki, alipoondoka mbona machafuko bado yanaendelea? Ukabila ndio tatizo la nchi Ile. Suluhisho ni wapate rais dikteta awapeleke mchakamchaka wasahau wanachokiita demokrasia ambacho ndio kinawadekeza
 
Shida ya Ruto aliahidi vijana vitu vingi vizuri (bottom up)
Kisha kaingia Ikulu hakuna anachotekeleza lazima vijana wamuwashie moto. Ange practices approach ya JPM walau robo angewin ikiwemo kubana matumizi ya serikali, kusikiliza wanyonge n.k
Instead anajenga kanisa Ikulu:-

Screenshot_20250707_180953_Parallel Space Lite.jpg
 
Ile nchi ya Wakolosai mshindi wa urais anajulikana hata kabla ya uchaguzi!

Hao vijana wanafanya kazi nzuri sana kwa leo na kesho ya nchi yao.

Wanaliheshimisha sana rika lao.
 
Hata akiondoka ruto haitakuwa ndio suluhisho ya amani ya kudumu. Unakumbuka walivyompelekesha mwai kibaki, alipoondoka mbona machafuko bado yanaendelea? Ukabila ndio tatizo la nchi Ile. Suluhisho ni wapate rais dikteta awapeleke mchakamchaka wasahau wanachokiita demokrasia ambacho ndio kinawadekeza
Kwahiyo wampate mtu kama magufuli ili wanyooke
 
Ni kwamba serikali haitaki tu kutumia nguvu zaidi ili kuepusha maafa zaidi au ni kweli wameshindwa kuwatuliza nguvu ndogo ya polisi?
 
Back
Top Bottom