Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

Katiba yao nzuri inakataza kufanya hicho
Tayari keshaagiza wavunjwe miguu lakini wasiwaue! Hiki ndicho nilikuwa naomba kwa Ruto, hawawezi kuchezea make....nd (in Museveni's voice) yeye anaangalia tu! Vunja huto tu milonjo wapelekwe hospitali wakitoka huko moja kwa moja mahakamani!
 
Mbona akuna kinacho tisha hapo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wakuu Nyerere Kuna Mistakes alizifanya kama Binadamu ila hili swala Kuondoa Ukabila aliweza sana, Nyerere ametuunganisha Mno watanzania Tena sana

The man was Gifted hata utawala wake haukutengeneza walafi na Mabilionea kiivo ambao wangekuja Kujiona special mbeleleni

Apumzike Kwa Amani baba wa Taifa ili
 
Huyu jamaa kapiga hela sana wakati Uhuru akiwa President
Angejitajidi basi kubana matumizi hata kupunguza mishahara minono na kuelekeza hizo kwenye ajira za vijana

Tatizo Viongozi wa Africa ni walafi mno wanataka kukaa madarakani ili baadhi wafaidike

Masikini waendelee kuwa masikini.

Kweli wana hasira lakini maduka yana uhusiano gani na maandamano?

Mbona wanaiba kama waliitana kwa ajili ya kuiba
 
Serikali ya Ruto inapokuja swala la Kubana matumizi yenye haina Huo msamiati ndio kwanza hio broad base Government ya kufanya coalition na Odinga ndio inazidi kuongeza mzigo kwenye serikali yake kwasababu inabidi kuteua watu wengi sana wa pande zote mbili

Ndio mana hata Advisors wake wamekuwa wengi sana ambao ana wa appoint siku za juzi juzi apa amemtua associate wa Odinga Prof Kamau kama Legal Advisor Yani ni Msululu wa Kugawana Vyeo ili mambo yaende.
 
Tayari keshaagiza wavunjwe miguu lakini wasiwaue! Hiki ndicho nilikuwa naomba kwa Ruto hawawezi kuchezea make....nd (in Museveni's voice) yeye anangalia tu! Vunja huto tu milonjo wapelekwe hospitali wakitoka huko nija kwa moja mahakamani!
Unapotumia risasi kulenga mguu, hakuna guarantee kuwa utapata mguu tu. Anything might happen na unaweza ua.

Agizo la Ruto ni uwendawazimu tu
 
Unapotumia risasi kulenga mguu, hakuna guarantee kuwa utapata mguu tu. Anything might happen na unaweza ua.

Agizo la Ruto ni uwendawazimu tu
Vijana waache uhuni tutavivunja hivyo vi milonjo vyao!
 
Back
Top Bottom