Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Kama ni hivyo kwani Kithure Kindiki si Mkikuyu pia? Assumptions zako zinakosa mashiko!Wanampinga ruto mkalenjini baada ya kumtosa mkikuyu rigathi na kushake hand na mjaluo odinga
Kama ni hivyo kwani Kithure Kindiki si Mkikuyu pia? Assumptions zako zinakosa mashiko!Wanampinga ruto mkalenjini baada ya kumtosa mkikuyu rigathi na kushake hand na mjaluo odinga
Wanakula mirungi sababu ya umaskiniKosa kubwa la serikali ya kenya ni kuruhusu matumizi ya MIRUNGI,,vijana wengi kule vichwa vyao vimekufa ganzi!!!!!
Katiba yao nzuri inakataza kufanya hichoHuo ni upumbavu! Ruto aagize jeshi liwafanye kile linaweza kuwafanya! Vijana wa Kenya mbona wamegeuka kuwa wapumbavu?
Kindiki siyo Mkikuyu bali ni M-Embu. Moja ya jamii zinazoishi kandokando ya mlima Kenya pamoja Wameru, Wagikuyu. Kwa umoja wao huitwa GEMA (Gikuyu, Embu, Meru -Association)Kama ni hivyo kwani Kithure Kindiki si Mkikuyu pia? Assumptions zako zinakosa mashiko!
Kwani hujamsikia askofu Bagonza anasema vijana wa kitanzania wawaige vijana wa kikenya?...Vijana wa Kenya mbona wamegeuka kuwa wapumbavu?
Hatuwezi kuruhusu waige upumbavu! Kwani hujamsikia Dr. Ruto anasema wavunjwe miguu?Kwani hujamsikia askofu Bagonza anasema vijana wa kitanzania wawaige vijana wa kikenya?
Una maana askofu Bagonza anawashauri vijana wa kitanzania waige mambo ya kipumbavu?😁Hatuwezi kuruhusu waige upumbavu!...
Mambo badoDuh aiseee wamezidi sasa
Kenya ni ya wakikuyu pekee??Hao ni wakikuyu sio gen Z
Hapana ila wanaoandamana ni wakikuyu pekeeKenya ni ya wakikuyu pekee??
Achana na Rumours. Eldoret sio wakikuyu walikuwaHapana ila wanaoandamana ni wakikuyu pekee
Jeshi la polisi la kenya ni legelege sana. Wana mengi ya kujifunza kutoka PTHawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
View attachment 3397352
View attachment 3397353
View attachment 3397354
View attachment 3397355
Jaribu kucheza na wao utakionaJeshi la polisi la kenya ni legelege sana. Wana mengi ya kujifunza kutoka PT
Nipo miongoni mwao. Najua nachokiiandikaJaribu kucheza na wao utakiona
Hujui lolote weweNipo miongoni mwao. Najua nachokiiandika
Kama anawashauri waandamane na kuvunja maduka jibu ni ndiyo!Una maana askofu Bagonza anawashauri vijana wa kitanzania waige mambo ya kipumbavu?😁
Katiba za kenya na Tanzania zinafanana ndiyo wawaige?Jeshi la polisi la kenya ni legelege sana. Wana mengi ya kujifunza kutoka PT