Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

Kumekuwa na makabiliano makubwa baina ya waandamanaji wa Gen Z katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi mahahala ambapo kiongozi mkongwe wa Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga anatarajiwa kufanya mkutano.

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amewahimiza Wakenya kukusanyika katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi siku ya Jumatatu kuadhimisha kumbukumbu ya maandamano ya kihistoria ya Saba Saba.

Polisi wameonekana wakiwatupia vitoa machozi na maji vijana waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Kamukunji ambao walijibu kwa kuchoma moto mataili na kuwatupia mawe
 
Barabara zote zimekuwa blocked, Nairobi iko kimya, maduka na maofisi yamefungwa

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • tweeload_751337f6.mp4
    10.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…