PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Mkuu umepima Ngoma?
 
Duuh ,

Hiyo Olive Oil ndo inafanya fangasi hao wazidi kuongezeka na kukuathiri zaidi

Kua na Boksa Kumi sio inshu kama HUZIPIGI PASI .yaan Kwa Ufupi utakua unajiambukizs wewe mwenyewe.

Cha kufanya.


Fua Boksa zako zote, zianikd juani vema, Kisha zipige PASI..hakikisha Kila siku unabadili Boksa, na Kila Boksa unayovaa hakikisha umepigwa PASI.


Nunua dawa hizi...

Terbinafine Cream, upakae Asubuh Jion Kwa muda wa wiki mbili.


Nunua na utumie ...

Tabs. Griseofulvin 500mg OD PO 1 month...yaan unakunywa Mara moja Kwa siku Kwa mwezi mzima




Usivae Boksa kama una majimaji mapajani , jifute vizuri ukauke.


Utapona !!.
 
Duh upo kwenye hatari ya kupata ngoma maana hapo lazima michubuko ni mingi..lakini kwann unatumia mupirocin wakati hayo ni mafangas??dawa hiyo ointment inatibu bacterial infections tu.
 
Duuh! Korodani zimeoza au ni macho yangu?!! Pole sana! Ila pia unaonekana sio msafi, hiyo mivuzi si unyoe, mtu una maradhi lakini bado unafuga mivuzi hivyo
 
Jambo dogo sana hilo. Kunadawa inaitwa anti fango lotion au dawa ya MBA huwa inatumika sana kutibu mapunye, Ina rangi ya kijani hivi. Hiyo nikiboko ya magonjwa ya ngozi afu ni bei ndogo tu kitu kama buku mbili au buku jero. Lakini inauma nibaraa ila nikwamuda na kupona ni guarantee. Uttanisshukuru badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…