PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

mkuu kama umetumia dawa yoyote na bado hali iko vile vilee jaribu kutumiaa dawa hizi mana nilishawahi kupigwa na fangasi nikazitumia zikaleta manaikio makubwa…. Cha kwanza tumiaa dawa ya allergy - citrizin( dawa hii itakuondolea kama kuna muwasho )

Pili.. tumia dawa inaitwa Fluu… dose ni siku saba … kidonge kimoja kimoja ( dose elfu saba)

Tatu… tumia dawa ya kupakaa… gentrozone cream… inauzwa 4000

Tatu… Tumia mafuta ya kujipakaa yasio kuwa na kekikali …Mfano tumia mafuta ya mgando ..( Baby Care … yale mafuta kopo rangi jeupe)


Maliza Dose then utanambia mkuu … Kila la kheri …. Fangasi ilinikomesha acha kabisa nilitumia zaidi ya Laki moja kujiuuguza 🥹 kwahiyo maumivu unayoyapata yanajuaa mkuu… kila la kheri
u kamahabari Mkuu kama
 
Acha tabia ya kutembea na wake za watu.
Infection hiyo tayari ipo ndani ya damu, kuua fangus iliyoingia kwenye damu ni kazi kubwa.
ukizubaa kansa inakuwinda mdogo mdogo.
Acha kutumia hivyo vi tube - menda hosp kubwa waone madaktari bingwa wakushauri kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Ngozi ya juu ya pumbu iliyokuwa imeharibiwa vibaya imeshabanduka yote, kwasasa imebaki ya chini nyepesi nayo naona tena imeanza kuathiriwa, hapa sijui nifanyeje wakuu
nunua vitamin B COMPLEX hii ni kiboko! niliyajulia hapa hapa jf kwenye uzi wa kufanania na huu.. nilitumia kwa siku kama nne tu nikapona ugonjwa uliokuwa umedumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hayo matube yote ni ubatili mtupu
 
nyongeza; usivae boksa, vaa chupi laini (pamba) yenye uwezo wa kuzishika pumbu vizuri wakati unapotembea ili zisichubuke
b; ukihisii aina yoyote ya kamuwasho, usijikune kwa kucha (hilo ni kosa kubwa sana na bila shaka unalifanya)

Mafuta unayojipaka (yawe ya mgando, kuna mdau kapendekeza yasiyo na kemikali) yanyunyizie maji ya limau wakati wa kujipaka
 
Ushauri mwingi uliopewa humu haufanyi kazi.. Kwanza hupaswi kuendelea kutumia dawa za maji na mafuta tena kwa hali hiyo. Hapo ni sindano, vidonge na dawa za poda.
Mimi sio daktari lakini hapo haudeal na fungus tu! Nadhani either tayari Kuna bacteria na virus

Acha madaktari wa buku jero, nenda kaonane na daktari mwenye shule ya kutosha utachomoka
Ngozi ya juu ya pumbu iliyokuwa imeharibiwa vibaya imeshabanduka yote, kwasasa imebaki ya chini nyepesi nayo naona tena imeanza kuathiriwa, hapa sijui nifanyeje wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…