OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umepunguza sana ukali wa maneno mkuu. Ungekuwa straight kabisa maana tunafahamu mwanaume anaemuwaza mwanaume mwenzake ana sifa zipiMwanaume kukaa unamuwaza mwanaume mwenzako asubuhi asubuhi ni dalili za uchizi. Sometimes huwa nafikiria PW Botha wa South Africa alikuwa sahihi kwa sentensi zake za kibaguzi juu ya watu weusi.
Mkuu, jamaa hayupo sawa !! kuna kitu alikifanya either kwa kujua ama kutokujua na ni kikubwa sasa anakijutia na kinamkosesha raha ya kuishi kabisa.Hiyo picha siyo jana.
Chadema mnateseka na Dr Bashiru!
Uhakika wa kitu gani mkuu?Vipi mkuu uhakika upo?
Au ni maneno tuu ya kuunganisha doti.
Mmejiweka wazi,! Ninyi kumbe mnapomtajataja mbowe na lissu kumbe ndivyo mlivyo!!!Umepunguza sana ukali wa maneno mkuu. Ungekuwa straight kabisa maana tunafahamu mwanaume anaemuwaza mwanaume mwenzake ana sifa zipi
njoo nikupige miti nyuma ili utoe ushuhuda vizuriUmepunguza sana ukali wa maneno mkuu. Ungekuwa straight kabisa maana tunafahamu mwanaume anaemuwaza mwanaume mwenzake ana sifa zipi
Bashiru analipa malipo gani?View attachment 1761204
Mbunge wa Viti Maalumu akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM.
My Take
1. Demotion isikie tu kwa mwenzio
2. Malipo ni hapa hapa duniani