Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

Aisee
Jamani
Kumbe viti maalumu tena,loh msameheni tu malipo kashayapata
 
View attachment 1761204

Mbunge wa Viti Maalumu akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM.

My Take
1. Demotion isikie tu kwa mwenzio
2. Malipo ni hapa hapa duniani
Hafai kabisa, shukrani kwa mama kuona hili.
 
View attachment 1761204

Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM.

My Take
1. Demotion isikie tu kwa mwenzio
2. Malipo ni hapa hapa duniani
Kaangalie movie ya The Return of the Dragon..
 
View attachment 1761204

Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM.

My Take
1. Demotion isikie tu kwa mwenzio
2. Malipo ni hapa hapa duniani
Kwenye hiyo "My Take yako,"
Kipengele namba moja kimenifanya nicheke na kusikitika kwa pamoja.nimeyafanya hayo kimyakimya.
 
20210423_20372998869.jpg
20210423_20372998869.jpg
 
Back
Top Bottom