Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

Yuko mbali kimawazo apa ni kivuli chake tu., ameumizwa sana picha inaonyesha
 
Mie naamini mtu kama Bashiru inabidi apewe heshima yake, watu wengi wamepita mikononi mwake akiwa pale UDSM, akiwa kama Katibu wa chama CCM na wengine ni viongozi wakubwa.Swala la Kumuandama mtandaoni ni chuki zisizo na tija kwenye nchi.
 
Anaweza aka-commit ......... Watu wawe karibu nae
Inasemwa mna orodha.πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³Mbona unastuka...!? Ni kweli nini!?πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.
 
Mwezio anaCV kubwa so subiri tu atapata nafasi kubwa zaidi
 

Ningepata wasaa wa kusema neno lolote kwake, ningempa maneno ya matumaini. Dunia bado inazunguka kama kawaida.
Amtumainie Mwenyezi Mungu ndiye mwenye siri za mambo ya maisha yetu. Bado ana nafasi. Muda Mwalimu mzuri. Baada ya hizi nderemo na vifijo, tutarudi tena kufanya kazi
 
1. Demotion isikie tu kwa mwenzio
2. Malipo ni hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…