Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Yamegeuka hayo mkuu. Ni watamu pia wazito sana. Jitahidi uwape Kisha ule hata mmojamanyoya mbona yapo kawaida ila yamesimama tu?
Wapi huko asee. Nikweli kwenye utamu ni watamu pia ni wazito sana anaweza asiwe na na umbo kubwa ila utamu sasa!!Kwetu tunawaita kinyavu,oyaa aikuambie mtu wajomba ni wazito na niwatam sana!
Itakuwa maana wengi wanahitaji wanunue nami kwa sasa wapo saba tu siwezi wauziawenye imani zao za kijadi wanasema ukimfuga huyo nyumbani kwako, mchawi hawezi kuingia
wambie walete majike ili uwape mbeguItakuwa maana wengi wanahitaji wanunue nami kwa sasa wapo saba tu siwezi wauzia
Wataleta magonjwa. Heri kuwauzia ila wawe wavumilivuwambie walete majike ili uwape mbegu
Kwamba broiler alingane na kuchi mkuu?😂😂😂Kuku ni kuku tu
Mkoa Gani mkuu?Tunaita sampala hao
Sio kweli mkuu Ladha inatofautiana kulingana na aina ya kukuKuku ni kuku tu
Hao nimewaona sana hata nyama zao tamu sana, mengine ndo nayaona humu.Hmm hao wanga hawawapendi! Na wanawatafuta kwaajili ya dawa ukiwanyima wanawaua! Mtu yuko radhi akupe hata laki 3 kisa huyo kuku! Hawajakugundua naoana!
Ni watamu mwenye nyumba wangu alikuwa nao wakawa wanakuja watu kumuomba awauzie anakataa, hawakuchukua round wakadanja!Hao nimewaona sana hata nyama zao tamu sana, mengine ndo nayaona humu.