Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

Kuna mahali Mbezi Beach kuna Tajiri anao lakini anawachunga ile mbaya na inasemekana ni kwa ajili ya mifumo ya Kiisrael na KiIran 😀😀😀
Mimi wapo kwa ajiri ya nyama na kuwaangalia tu kama mapambo. Hayo mengine yameanza kujitokeza kila mtu ananiambia anawatafuta sana na anaomba nimuuzie ukimwambia huuzi basi naye anajua wazi ni kwa sababu zilezile za mifumo ya Israel japo mimi sijui lolote
 
Ni fasheni tu, yaani maumbile tu hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…