Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #61
Mimi usiku kula wali labda niwe ugenini kwangu haiwezekani na wanajua kabisa ugali lazima.Nilijua tu! Umenikumbusha kijijini kwa bibi tulikuwa tunapewa ugali kwanza ndio wali, tulikuwa hatupendi ugali!π
Msukuma wa wapi wewe?Mimi usiku kula wali labda niwe ugenini kwangu haiwezekani na wanajua kabisa ugali lazima.
Kwa upande huu wa ufugaji mkuu sijawahi kuboaWanavutia, hakika ndugu unawatunza vyema.
Wanaongeza nguvu za kiume
Kinyakyusa tunawaita salu!Mkoa Gani mkuu?
Vyema sana mkuuKinyakyusa tunawaita salu!
Imani tu mkuu mimi nimechinja hivi karibuni tu kabla sijapandisha uzi huu. Na sasa nahitaji kuwazalisha kwa wingiKwetu ni marufuku kuchinjia wageni hawa kuku.
Naskia ukifanya hivyo u
Na hukujua haya bila shakaHawa home tulikuwa nao wa kutosha enzi hizo
Kweli wazuri kwa mapamboKuna jirani anao hapa ila sio watotoaji wazuri, mi nawapenda TU walivyokaa manyoya naona wanafaa kwa mapambo
πHawa ni wazuri kwenye kumtia mtu ukichaa..