Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Walivokaa kama wako serious vile wanataka kuhudumia wananchi
Yaani!!! Utasema watu wa maana, kumbe wanayofanya hapo, hata ukiemda kuchukua madereva daladala au madereva wa mabasi ukawaweka hapo wanaweza fanya mambo ya maana haswa kuliko hao kunguni hapo waliojazana kufyonza damu ya rasilimali za watanzania
 
Atatwaliwa mama yako Rais wetu abakie

USSR
Huwa Izrael anaanza na wanawake wauaji. Bahati nzuri mama yangu hajawahi kushiriki mauaji ya aina yoyote yale kwenye maisha yake. Hivyo haishangazi kuona mpaka muda huu anakaribia kufunga karne moja hapa duniani.
 
Ila wapinzani wa nchi hii ni Matahira haswa
Yaani wameweka mbupu zao nje kusubiri msiba wa Rais Samia.
Never.
Huyu ni chaguo la Mungu hafi kijinga kama yule mungu wa wapumbavu
Simuombei kifo samia ila koma kuandika neno Never...
Who are you?....wewe ni takataka tu.
Lazima umtukane JPM kwa sababu wewe ni victim wa cheti feki....
 
Na katika kikao hicho Waziri mkuu ni KASIM MAJALIWA.

Mbona hiyo slide hujawekaaaaaaa!!!!???😁😁😁

Uongo uongo,nguvu nyingi mnatumiakuaminisha watu kwamba Rais hana shida.

Ina maana hamkumuona Kasimu majaliwa mkaedit vizuri???

Mmejiumbua.Nyumbu kweli machawa.
 
Sema Rais wako mpendwa, usiseme Rais wetu mpendwa. Hawezi kuwa mpendwa kwa watu aliowaua ndugu zao, wala hawezi kuwa mpendwa kwa mtanzania yeyote mwenye akili timamu, anayeheshimu haki na uhai wa mwanadamu.

Punguani kama wewe huna mandate ya kuongea chochote kwa niaba ya wenye akili timamu. Ongelea nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…