Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Pole sana kwa maumivu. Nafikiri umemuona Raisi wetu mpendwa, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akiwa mzima na bukheri wa afya. Mganga wenu mzee wa humu jana kawaingiza chaka🤣🤣🤣. Kumbe zee lenyewe halielewi chochote kinachoendelea.Sema Rais wako mpendwa, usiseme Rais wetu mpendwa. Hawezi kuwa mpendwa kwa watu aliowaua ndugu zao, wala hawezi kuwa mpendwa kwa mtanzania yeyote mwenye akili timamu, anayeheshimu haki na uhai wa mwanadamu.
Punguani kama wewe huna mandate ya kuongea chochote kwa niaba ya wenye akili timamu. Ongelea nafsi yako.