Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Na katika kikao hicho Waziri mkuu ni KASIM MAJALIWA.

Mbona hiyo slide hujawekaaaaaaa!!!!???😁😁😁

Uongo uongo,nguvu nyingi mnatumiakuaminisha watu kwamba Rais hana shida.

Ina maana hamkumuona Kasimu majaliwa mkaedit vizuri???

Mmejiumbua.Nyumbu kweli machawa.
Nadhani majaliwa ni mshauri wa rais kwenye masuala ya uongozi
 
Kuna Picha Nimemuona Majaliwa.
Waziri Mkuu mstaafu Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais mstaafu Philip Mpango ni washauri wa ngazi ya juu wa Rais Samia Suluhu Hassan na waliteuliwa hadharani

USSR
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Mkuu USSR, asante sana kwa picha hizi!, kwa kule kwetu Unyamwezini, picha hizi zinaitwa ni picha za "funga kalomo"!

Kukitokea vineno vineno vya watu wajinga wajinga, wanae eneza uvumi wa vineno vya hovyo hovyo ili kuzua taharuki, dawa yao sio kuwajibu, bali wewe kuendelea tuu na maisha yako hivyo kuwafanya hao wajinga wanajikuta wanalzimika "funga kalomo!.

P.
 
Hii ni AI acheni kupotosha umma kwa kuleta taharuki, mama ni mgonjwa sana
Aisee sasa ndugu utaamini nini kwamba vyombo vya habari vyote nchini vimepost AI? ...basi na hili jua linalowaka nayo ni AI
HIYO NI PICHA HALISI.
 
Kuna Picha Nimemuona Majaliwa.
Majaliwa hayupo hiyo picha ni ya Leo. Nimemuuliza AI kasema ni halisi na ya Leo. Hata Kama wanadanganya basi wanajidanganya wao. Wacheeni waendelee kuficha wanachoficha. Kiwe kibaya au kizuri. Waache waiche, Moshi ukifuka tu shauri Yao.
 
Mkuu USSR, asante sana kwa picha hizi!, kwa kule kwetu Unyamwezini, picha hizi zinaitwa ni picha za "funga kalomo"!

Kukitokea vineno vineno vya watu wajinga wajinga, wanae eneza uvumi wa vineno vya hovyo hovyo ili kuzua taharuki, dawa yao sio kuwajibu, bali wewe kuendelea tuu na maisha yako hivyo kuwafanya hao wajinga wanajikuta wanalzimika "funga kalomo!.

P.
mkuu wewe si uliletea uzi wa kumuombea afya njema rais wenu Iweje saivi ujizime data
 
Back
Top Bottom