Je wale wa kwenu
USSR
Kuwa chadema ni kujaza mavi kichwani
USSR
Nenda kwenye akaunti ya Instagram ya IKULU MAWASILIANO,Katika slide zote walizoweka kuna slide ya KASIM MAJALIWA.Je, Majaliwa ndiye Waziri mkuu wa Tanzania?Ila wapinzani wa nchi hii ni Matahira haswa
Yaani wameweka mbupu zao nje kusubiri msiba wa Rais Samia.
Never.
Huyu ni chaguo la Mungu hafi kijinga kama yule mungu wa wapumbavu
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Duh...!, badala ya kunishukuru kwa uzi ule watu wakamuombea, na ndio maana leo unamuona!.mkuu wewe si uliletea uzi wa kumuombea afya njema rais wenu Iweje saivi ujizime data
ok.Ushahidi wa picha kutoka akaunti ya Instagram ya IKULU MAWASILIANO

Kwahiyo wasifanye kazi kisa Kuna kufa?!!!!Haisaidii chochote. Muda wa kutwaliwa na Izraeli mtoa roho ukiwadia hana pa kukimbilia.
Pole sana kwa maumivu na ahsante kwa kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.Daah 😃
Mbona vita kali hivi ?
Kweli ushindi ulikuwa asilimia 98 ?
Watanzania 32 Milioni walipiga kura kweli ? Binadamu dhamira zetu ziwe zinatusuta basi.
Hao jamaa wanafanya kusudi kuwaondoa kwenye mijadala ,tuachane nao ,tufocus kwenye vitu vya msingi.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
😂😂Ila wapinzani wa nchi hii ni Matahira haswa
Yaani wameweka mbupu zao nje kusubiri msiba wa Rais Samia.
Never.
Huyu ni chaguo la Mungu hafi kijinga kama yule mungu wa wapumbavu
😂😂Ila wapinzani wa nchi hii ni Matahira haswa
Yaani wameweka mbupu zao nje kusubiri msiba wa Rais Samia.
Never.
Huyu ni chaguo la Mungu hafi kijinga kama yule mungu wa wapumbavu
Pole sana kwa maumivu nyumbu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, nafikiri umemuona jinsi alivyo na afya tele😍😍Yaani!!! Utasema watu wa maana, kumbe wanayofanya hapo, hata ukiemda kuchukua madereva daladala au madereva wa mabasi ukawaweka hapo wanaweza fanya mambo ya maana haswa kuliko hao kunguni hapo waliojazana kufyonza damu ya rasilimali za watanzania