Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Nadhani majaliwa ni mshauri wa rais kwenye masuala ya uongozi
 
Wapinzani wanatabu sana awamu hii.
Hii ndo political science yenyewe sasa. Lazima mpigwe za uso
 
Aisee...anachapa kazi sio ? Basi sawa ....tupo hAPA
 
Kuna Picha Nimemuona Majaliwa.
Waziri Mkuu mstaafu Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais mstaafu Philip Mpango ni washauri wa ngazi ya juu wa Rais Samia Suluhu Hassan na waliteuliwa hadharani

USSR
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Mkuu USSR, asante sana kwa picha hizi!, kwa kule kwetu Unyamwezini, picha hizi zinaitwa ni picha za "funga kalomo"!

Kukitokea vineno vineno vya watu wajinga wajinga, wanae eneza uvumi wa vineno vya hovyo hovyo ili kuzua taharuki, dawa yao sio kuwajibu, bali wewe kuendelea tuu na maisha yako hivyo kuwafanya hao wajinga wanajikuta wanalzimika "funga kalomo!.

P.
 
Hakuna Mungu wa muuaji, sema ni mke wa shetani, ibilisi
 
Hii ni AI acheni kupotosha umma kwa kuleta taharuki, mama ni mgonjwa sana
Aisee sasa ndugu utaamini nini kwamba vyombo vya habari vyote nchini vimepost AI? ...basi na hili jua linalowaka nayo ni AI
HIYO NI PICHA HALISI.
 
Kuna Picha Nimemuona Majaliwa.
Majaliwa hayupo hiyo picha ni ya Leo. Nimemuuliza AI kasema ni halisi na ya Leo. Hata Kama wanadanganya basi wanajidanganya wao. Wacheeni waendelee kuficha wanachoficha. Kiwe kibaya au kizuri. Waache waiche, Moshi ukifuka tu shauri Yao.
 
mkuu wewe si uliletea uzi wa kumuombea afya njema rais wenu Iweje saivi ujizime data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…