Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Ila wapinzani wa nchi hii ni Matahira haswa
Yaani wameweka mbupu zao nje kusubiri msiba wa Rais Samia.
Never.
Huyu ni chaguo la Mungu hafi kijinga kama yule mungu wa wapumbavu
Nenda kwenye akaunti ya Instagram ya IKULU MAWASILIANO,Katika slide zote walizoweka kuna slide ya KASIM MAJALIWA.Je, Majaliwa ndiye Waziri mkuu wa Tanzania?
 

Attachments

  • Screenshot_20261021-145548.png
    453.3 KB · Views: 6
Daah πŸ˜ƒ
Mbona vita kali hivi ?
Kweli ushindi ulikuwa asilimia 98 ?
Watanzania 32 Milioni walipiga kura kweli ? Binadamu dhamira zetu ziwe zinatusuta basi.
 
Daah πŸ˜ƒ
Mbona vita kali hivi ?
Kweli ushindi ulikuwa asilimia 98 ?
Watanzania 32 Milioni walipiga kura kweli ? Binadamu dhamira zetu ziwe zinatusuta basi.
Pole sana kwa maumivu na ahsante kwa kumuona Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
 
Hao jamaa wanafanya kusudi kuwaondoa kwenye mijadala ,tuachane nao ,tufocus kwenye vitu vya msingi.

#Octoba29 maandamano.
#Justice for Polepole,mdude,bensaanane ,chaula,soka etc
#Kataa_wahuni
 
Yaani!!! Utasema watu wa maana, kumbe wanayofanya hapo, hata ukiemda kuchukua madereva daladala au madereva wa mabasi ukawaweka hapo wanaweza fanya mambo ya maana haswa kuliko hao kunguni hapo waliojazana kufyonza damu ya rasilimali za watanzania
Pole sana kwa maumivu nyumbu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, nafikiri umemuona jinsi alivyo na afya tele😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…