Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Pole sana kwa maumivu. Nafikiri umemuona Raisi wetu mpendwa, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, akiwa mzima na bukheri wa afya. Mganga wenu mzee wa humu jana kawaingiza chaka🤣🤣🤣. Kumbe zee lenyewe halielewi chochote kinachoendelea.
 
Picha mjongeo (video) kumuonesha mtawala akitembea hatua kadhaa kukikabili chumba cha ofisi au mkutano zimekuwa adimu

Nini sababu ya kutoonesha video hizo ?
 
Kama anataka kuishi akachonge meza kama za Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…