Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Wanyakyusa wote kwa umoja wetu tukumbuke kwetu Mbeya tatizo tukishakuja mjini watoto wa kichaga wakatuchanganya tunasahau kwetu
 
Wanyakyusa wote kwa umoja wetu tukumbuke kwetu Mbeya tatizo tukishakuja mjini watoto wa kichaga wakatuchanganya tunasahau kwetu

vipi Bukoba kuna majengo mangapi yana lifti ? maana hao ndo wasomi wenzetu , huko kaskazini ni kawaida maana biashara za utalii na matajiri wa madani wapo wa kumwaga so lazima wajenge . Mbeya hakuna matajiri wa kutisha ila kuna watu wavipesa vyao tu hao wakinga ambao hela zao za ushirikina wengine wanaambiwa hadi walale kwenye mikeka sasa MTU kama huyo atajenga lini mjengo wa ghorofa za kutosha?

Pia serikali na mashirika ya umma wameidharau sana Mbeya , vimajengo vya ofisi zao ni vya kusikitisha mfano PPF, nssf , PSPF n.k
 
kina MWAKABUNGU mbwembwe nyingiiii Dar es Salaam wanashindwa kujenga daraja kwao
 
Tunatafuta Mheshimiwa yoyote toka Mjengoni aje kwenye maadhimisho.
 
Mhhhh Leo tumepatikana, kweli hakuna pesa jamani za kujenga , bora tunajitahidi hao Bukoba wahaya ndo kabisaaaa
 
Lift ya kwanza Zanzibar 1883
Na ndio jengo la kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati.
 
Lift ya kwanza Zanzibar 1883
Na ndio jengo la kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati.
Hongereni Wazenji nyie pia ni wa kwanza kumiliki TV station ya rangi. Ila punguzeni Michezo ya ajabu mtaheshimika zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…