Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Miaka 6 sasa imepita tangu lift ya kwanza kwenye jiji uchwara la mbeya, vp kuna lift nyingine imeongezwa.? au hata hy moja mshaiharibu.?
 
Miaka 6 sasa imepita tangu lift ya kwanza kwenye jiji uchwara la mbeya, vp kuna lift nyingine imeongezwa.? au hata hy moja mshaiharibu.?
Yapo bhana ka Saba hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nikutajie, NHIF tower ina ghorofa 12 na ndo ya Kwanza saiz kwa urefu,, tughimbe loyal hotel nyota nne ipo mafiati,,Kuna maranatha ipo mwanjelwa ghorofa 7,, Kuna NHC Ipo cbd, ghorofa 5, pia palepale mkbala na nhc kuna shop center ina floo 4 ina lift πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kuna mengine kibao yanajengwa, kabwe lipo moja 8 floo,, soweto mkulu hotel floo 5,. Mama John kuna hotel 5 floo ishakamilika,. Mzumbe kuna hotel five floo,k's 7 floo, meta 6 floo,, mbeya region ofice five floo,,,kuna hotel ipo karibu na hospital ya mkoa five star na bado ambazo niliiacha zipo kwenye process hayo yote ni ya lift boss πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ni ya kisasa kbsa ni four years tuu so karibu mbeya tena mkulu
 
Bc mko vizuri kama hadi ghorofa lenye Flow 4 ina lift
 
Naupenda sana mji wa Mbeya pamoja na yote yanayosemwa. Huu mji nilianzia maisha na ukanitoa japo nilihama huko kitambo....Long live Mbeya
 
Naupenda sana mji wa Mbeya pamoja na yote yanayosemwa. Huu mji nianzia maisha na ukanitoa japo nilihama huko kitambo....Long live Mbeya
Karibu Tena boss, karibu sanay, binadamu ndivyo tulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚acha waiseme kwa mda tuu baadae watakimya wenyewe, mji unaendelea vzr saiz boss, karibu Tena boss
 
Bc mko vizuri kama hadi ghorofa lenye Flow 4 ina lift
Sio nne tuu boss hiyo tughimbe loyal ina ghorofa 3 tuu na ina lift boss πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibu mbeya boss tule tushibe tunywe maji tulale maisha yaende mbele boss
 
Sio nne tuu boss hiyo tughimbe loyal ina ghorofa 3 tuu na ina lift boss πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibu mbeya boss tule tushibe tunywe maji tulale maisha yaende mbele boss
Mbeya pako vizuri, nlwahi kuishi Mbeya mjini maeneo ya kagwina karibu na shule ya msingi sinde
 
Mbeya pako vizuri, nlwahi kuishi Mbeya mjini maeneo ya kagwina karibu na shule ya msingi sinde
Yeap kwa msosi boss, wΓ tu wanaipondea mbeya kwa majengo marefu na barabara bc vingine hawawezi kuipondea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ila tunakula tunakunywa maji saaafi tunalala tunasubir kufa na kazi tunafanya ili mikoa mingine ifaidike baaasi, nyie kuleni maghorofa yenu hayo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣na lift japo saiz mbeya tunaanza kufaidi vyote bhana
 
Pia maeneo flani hv ya airport ✈️ niliwahi kuishi, ety unachota maji kwa mwezi mzima kwa bill ya 3k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ geto tulikuwa watu sita wanaume wa3 chumba chetu na wanawake wa3 chumba chao yn ilikuwa balaa tunachota maji ht ndoo 10 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…