Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

kama kuna mkoa umepangiliwa vibaya ni kijiji kikubwa cha mbeya hawa mipango miji hawa walaaaniwe kabisa
 
Najua kuwa maumbile ya kijiologia ya mkoa wa Mbeya hayarushu kujenga jengo refu zaidi ya ghorofa 3. Sasa kama wameanza kujenga itakuwa na mabadiriko ya jinsi ya kujenga majengo hayo.
 
kweli Tanzania tunaishi ulimwengu wa tatu,yaani lift tu hadi inatanganzwa namna ile?
Hiyo ni aibu kwa CCM na serikali yake ................... Kwa data nilizonazo mpaka sasa Tanzania nzima kua escalator moja tu pale JKN Airport!! Halafu kuna watu wanadai CCM imetuendeleza!! Tatizo ukiishi kwenye ujima, Ujamaa unaona ni maendeleo makubwa!!
 
[/QUOTE]
Hao walimu hawana akili, hivi wanatangaza lifti ili iweje?
 
mbona hilo lenye lift ya kwanza lina ghorofa saba?

umesahau mount meru hotel ambayo ilikuwepo tangu miaka ya 88, vile vele aicc ilikuwepo tangu miaka ya 77 kabla ya kuvunjika kwa eac
 
Quality city pia ipo escalator
 
evidence of a lift/elevator!

Going through comments in here, surely I don't even need to answer you... it's a national shame. You desperately need some kind of a shake up, because reading about Mbeya and its sooo many resources, this explains the whole picture about you guys.
 
Escalators zipo za kutosha! kuna shoppers/Quality Centre na JKNIA na zitaongezeka kwani majengo nayo yanajengwa kwa kasi! hivi Viva Tower na Uhuru heights hayana hizi vitu?
 
Hao walimu hawana akili, hivi wanatangaza lifti ili iweje?[/QUOTE]

ili mjue....
 
Ushamba wa walimu bwana,... Hapo mbeya Kwenye Kiwanis cha Saruji Songwe kuna lift mbili ziko tangia mwaka 1983 mpaka Leo hii. Hawa ndo tunawapa watoto wetu watufundishie???
 

yaani unaongea uongo hivi hivi ata aibu huoni?
 
wakuu hii habari imenitisha!

hivi jiji la mbeya lilikuwa halina lift kumbe? watu mlikuwa mnapandaje kwenye majengo marefu?

yani mpaka sherehe zimefanyika kuzindua lift ya kwanza katika jiji/mkoa wa mbeya??

hivi hii serikali yetu inaangalia vigezo gani hasa mpaka mkoa kupewa hadhi ya jiji wakati kitu kidogo kama hiki kinakosa katika miundombinu?

 
Ulikuwa ulimwengu upi ndugu?

Hii sio Breaking News, ni habari iliyokwishapitwa na wakati hapa jf, karibu siku ya nne leo tangu uzinduzi huo ufnywe!
 
sherehe nazo zimefanyika kabisa kwa ajili ya uzinduzi wa lift!

mtaalam chriss lukosi amealikwa kuzindua hiyo machine!

 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa ulimwengu upi ndugu?

Hii sio Breaking News, ni habari iliyokwishapitwa na wakati hapa jf, karibu siku ya nne leo tangu uzinduzi huo ufnywe!
mkuu imezinduliwa jana, aisee nimeshaa!

hivi kwanini mbeya imeitwa jiji wakati bado miundombinu ni mibovu hivi?
 
Hivi mkuu Excel unajua Breaking News Kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…