Picha: Lissu na Mbowe leo hii

Tatizo la vyama vya upinzani kuona kiongozi fulani ndiyo mmiliki wa uenyekiti au nafasi ya juu ya uongozi inawaharibia sana.
Na mtu mwingine yeyote anayejaribu kugombea nafasi hiyo anaonekana ni msaliti au mamluki.
Viongozi na wapambe wao wafiche hisia zao ili kulinda maslahi ya chama dhidi ya maadui wao.
Wanachotakiwa kufanya ni kumkataa huyo mgombea kupitia sanduku la kura kimyakimya bila kelele wala kumuonesha chuki za waziwazi huyo mgombea wanayemuona ni msaliti.
 
Apigwe nduli Lissu..... (wote tuitikie).....apigweeeee!!!!!!
Mtakuwa mmewekeza kikubwa sana kwa Mbowe, maanake sasa hata kujificha msionekane kuwa kuna mategemeo mliyo mwekea Mbowe kuendelea kuongoza chama hamuoni kuwa ni lazima.

Sasa sijui Mbowe mwenyewe akiwageuka mtafanyaje?
 
Kwamba Msigwa ndie awe na ushauri kwa Lisu kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…