Picha: Lissu na Mbowe leo hii

Picha: Lissu na Mbowe leo hii

Kugombea Lissu huo uenyekiti , Binafsi sijaona kosa lolote,ila nayo mitandao Ina uzuri sana.Watumiaji wengine ndio wanaharibu kwa kukuza mambo!
 
Msigwa ana zarau sana anaonaga watanzania maboya kumbe yeye ndo pimbi sisi tunajua njaa imemshinda mpaka anajiàibisha uzeeni.
 
Ccm haitaki katiba mpya wala siasa za mapambano, ndio watampa pesa Msigwa ampe Lisu kufanya PC wakati msimamo wa Lisu ni hatari kwa ccm kuliko wa Mbowe? Haya ya mambo ya kuwa bendera fuata upepo yanawafanya hata mshindwe kufikiri kwa usahihi.
 
Vijana wa Mbowe wapumbavu sana yaani munaamua mushushe hadhi ya Lisu kwa kumtuhumu katumwa na Msigwa? Pumbavu zenu, yaani mnataka kutwaambia Lisu hana maamuzi? Mwaka huu mtasema yoote na msipoangalia lichama lenu linaenda kuporomoka.
 
Noo, wanataka baadae wambane
 
Vijana wa Mbowe wapumbavu sana yaani munaamua mushushe hadhi ya Lisu kwa kumtuhumu katumwa na Msigwa? Pumbavu zenu, yaani mnataka kutwaambia Lisu hana maamuzi? Mwaka huu mtasema yoote na msipoangalia lichama lenu linaenda kuporomoka.
Hili lipo wazi, lissu remote controlled by msigwa
 
Trust yangu kwa CHADEMA ilipotea rasmi alipoingia EL ..itarudi iwapo TAL atachukua usukani.
 
Back
Top Bottom