Picha: Lissu na Mbowe leo hii

Picha: Lissu na Mbowe leo hii

mimi ninachofurahia ni kuona demokrasia inafanyaje kazi ili mradi isiwe wimbo uliozoeleka nimeibiwa kura. Msigwa na kundi lake watafurahi mno
 
Lissu atakuwa mgombea Urais CDM; Makamo mwenyekiti, kama hutaki tangulia Msumbiji tunakuja.
 
mimi ninachofurahia ni kuona demokrasia inafanyaje kazi ili mradi isiwe wimbo uliozoeleka nimeibiwa kura. Msigwa na kundi lake watafurahi mno
Hakuna demokrasia kwa sababu mtu kung'ang'ania madaraka kwa miaka 25 katu haiwezi kuwa demokrasia. Atasingizia katiba lakini ukomo uliondolewa kwa sababu kipindi hicho watu walikuwa wanaogopa kuingia kwenye vyama vya upinzani.
 
Maccm yote leo yako upande wa Mbowe,hakika huyu Lissu ni mwiba mkali sana kwa CCM. Kipindi Mbowe alipokuwa anawapelekea moto kila siku wanamtuhumu ni king'ang'anizi hataki kuachia uongozi leo hii ghafla kawa kipenzi chao. Hivi wanafikiri hatuna kumbukumbu? Sasa ni wakati wa Mbowe kujisafisha na upuuzi huu wa maccm kwani hapa wanataka kuweka ushahidi kuwa Mbowe anatumika na Samia. Mbowe akilikalia kimya hili atakuwa ameichafua kazi yote aliyoifanya kwa miaka zaidi ya 20 kuijenga Chadema. Hii ni mbinu ya kijasusi kabisa,kazi kwake Mbowe. Eti hata Malaria Sugu adui wa Ukristo na Wakristo leo yuko kwa Mbowe.
 
Back
Top Bottom