Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

"figisu" ipi aliyofanyiwa?

Kila kitu kimewekwa wazi kabisa. Huyo kayuakanyaga kwa chuki zake kwa kuendeshwa na chuki zake binafsi.
"Chuki” zipi binafsi?

Kusema ukweli na kutetea pesa za walipa kodi ndyo chuki binafsi?
 
Na Mie nashangaa Lukuvi kufurahi vile kwanini? Au na Luhaga naye aliwahi kufurahi wakati Lukuvi ananyang'anywa uwaziri wa Ardhi?
Hamna anajua ukweli unadhani samia alivyomtoa kwenye wizara alifurahi?
 
Ukiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
Media zenye akili zingemgombania Mpina kufanya nae interview ya more than 1hr lakin media zimejawa uchawa zipo ziiii!Bongo bana
 
Hapo kama kuna uchawi wa kurogwa ni Rango tu huyo Bashe yeye ni fisadi kama mafisadi wengine tu huko CCM lakini Rango ndiye alitioa kamba ya kumnyongea Mpina.
 
Ukiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
U mkalimani mzuri sana mkuu,umegusa pale pale
 
Vijana wamefanikiwa kuona na kuonja nation cake hawaamini macho yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…