Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Anatetea ndugu zake
 
Kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land locked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Congo Na Malawi) kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.

...
 
Yeye mbunge WA wasukuma Kisesa

Wasukuma WA Jimbo lake na chai au sukari wapi na wapi?.Walimtuma wapiga kura WA Kisesa kuwa kwao kero NI sukari?

Hayo ndio matatizo ya Jimbo la Kisesa?
Duh! Hicho kichwa ulibeba Kwa ajili ya kufugia nywele tu, na si zaidi ya hapo.
 
Hajakosana na bashe,amekosana na mamlaka ya bunge.
 
Ukiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
ilibidi nimuulize hii ishu ya Bashe na Mpina ex-bosi wangu mmoja wakati nikiishi Ukimani 🇹🇿, ambaye amewahi kua waziri na kwa sasa amebaki na ubunge. alichonijibu anasema anayosema Mpina ni kweli na Bashe alipokea maagizo tu ila ndio anakua mbuzi wa kafara.
 
Acha uchawa wewe kubwa jinga, nyavu zilizochomwa zilikuwa hazikidhi vigezo.
 
Huijuwi damu ya Kisomali wewe, watazame hivyo hivyo. Hao wanaitwa "warriors", hawana kitu kinaitwa uoga katika genes zao.
Warrors may ffooottt, huyo mpina ni msukuma , sukuma ni super warrior, HEADLESS
 
Mbona haujauona huo ukweli? Au upo aliokiupa wewe zaidi ya ule alioiufikisha bungeni?


Nilimshangaa alipojitetea kwenye kamati kuwa ule alioongea na waandishi wa habari siyo ushahidi bali aliouleta bungeni ndiyo ushahidi.

Unapata picha ipi hapo?
Unaelewa ushahid wew kubwa jinga??? Alichokisema kwenye press ni udadavuzi HEADLESS GIRL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…