Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Mbona sina taarifa?
Sasa ukimkamata mtu kwanini usimvute,acheni siasa uchwara bhana. Walikosea na walipata kilichosahihi.Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394222
Hawa ni wepesi tu, tukiwapa majibu laini laini watatupandia kichwani.
Hakika !Utadhani enzi za makuburu!!
Wewe mpuuzi sibishani na wewe! Nani alipangwa? Hapo ni ndani au ni nje? Acha ujinga wewe shut up
Kwahio unatakaje? Sijakuelewa ujue!!Watu wamepangwa kabisa Kwan wakijisahsu walivyo kua wanachukua video walikua wanapiga story pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamechakaa mpaka akili. Nawachukia sana watu wanafiki na waongo. Tunajua vigezo hata vya ajira zao ni kutokuwa na akili kubwa. Lakini ukiwa huna akili siyo lazima uwe mnafiki na mwongo.Eti wanaume kama kumi wanamzunguka kwa kipigo mwanamke! Poor Magereza ndio maana wana safe zimechakaa utadhani street hustlers
Majina ya Askari walio kua wanamtoa muakifu eneo la tukio si ndioHalafu utakuta askari wenye wana madeni hawana hata mishahara
Naona askari wa kike, sasa inavyosemekana waliomkamata ni wa kiume tushike lipi??Majina ya Askari walio kua wanamtoa muakifu eneo la tukio si ndioView attachment 1394283View attachment 1394284View attachment 1394285View attachment 1394286
Sent using Jamii Forums mobile app
kama picha hautaki unataka science gani?Wakuu fanyeni siasa za kisayansi, onesheni kama vile mmekwenda shule.
Sikiliza maelezoili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Kula like chief, Hawa watu wana viburi vilivyosimama wima halafu wanavuta bangi vibaya.Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi