Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Kwani walienda magereza bila sababu maalum?! Kwa akili yako unaamini Mdee na wenzake walivamia magereza na hawakuishia hapo wakampiga na kunchania askari sare yake?! Wakati mwingine muwe mnajaribu kutumia akili zenu za kawaida basi!!!Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Wewe mpuzi mazima😡😠😏Kama ulivyo Photoshop ya baba wa jirani! Unaropoka tu ili watu wajue kuwa unaijua Photoshop kumbe kilaza tu! Mpuuzi na nusu.
Kwa mvivu wa kufikiri havilingani!Mbona unaongea vitu havilingani na hii ishu?
Kila muamba ngoma uvutiwa kwakeTaarifa ya magereza Na polis ya mambosasa imejaa uwongo mtupu.wale askari magereza walipaswa kutupwa zero Mara moja...
ina maana wewe ulikuwepo ukashiriki na kushuhudia kila kitu? Ona sasa unavyojianika?Mtengeneza picha Nasema umelipwa bureee! Yani bwerere!
Pamoja nakujifungia cku zte hizo bado ulisahau gwanda.
Inaelekea ccm peke yao ndio wanajua utaratibu hadi wakuteka na kupoteza watu kupiga risasi watu mchana bila kushtakiwa. Hovyo kabisaUsipende kuwa unaangalia shilingi upande mmoja. Je kama akina pole pole waliomba ruhusu na kufuata taratibu. Na unjua kama walingia na magari hadi sehemu sisizoruhusiwa?
Jambo la msingi ni kufuata utaratibu.
Kwani waliwafuata ofcn kwao ufipa ama walienda eneo la Magereza?Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Ukimuangalia mabegani utaona aliyemshika bulaya mkono wa kulia alivyo na cheo cha juu, lakini inaonekana kwamba nayeye alishiriki uhuni huu kikamilifu sana. Ninacho jiuliza mimi hasa ni hatua gani zinachukuliwa na bunge kunapotokea uhuni kama huu kwa mbunge yeyote wa bunge la jamuhuri ya muungano wa tanzania? Hivi hakuna utaratibu wa bunge kuunda tume ama spika kuteua watu wakuchunguza kadhia yoyote kwa mbunge wake ili kujiridhisha na tukio husika kama mbunge alikuwa na kosa ama la? Na kama alikuwa na kosa pia kujiridhisha kwamba ni kosa gani lililo pelekea avunjwe mkono ama atenguliwe mgongo? Ama ndio tubaki kuamini aliyoyasema CAG (mstaafishwa).Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Na wewe unaishi ndani ya mabanda ya kuku kama askari wa magereza???Kwa muonekanano hii picha imechukuliwa ktk video. Iachie video yenyewe ili tujionee kilichotokea, sio kutupa kile unachotaka wewe tukione.
Si kosa lako, ni kosa la hiyo aliyekuweka kwenye banda la kuku, mwishowe akili zako zinafanana na za kuku.Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Spika mwenyewe akili zake ni za kishikiwa na Jiwe.Ukimuangalia mabegani utaona aliyemshika bulaya mkono wa kulia alivyo na cheo cha juu, lakini inaonekana kwamba nayeye alishiriki uhuni huu kikamilifu sana. Ninacho jiuliza mimi hasa ni hatua gani zinachukuliwa na bunge kunapotokea uhuni kama huu kwa mbunge yeyote wa bunge la jamuhuri ya muungano wa tanzania? Hivi hakuna utaratibu wa bunge kuunda tume ama spika kuteua watu wakuchunguza kadhia yoyote kwa mbunge wake ili kujiridhisha na tukio husika kama mbunge alikuwa na kosa ama la? Na kama alikuwa na kosa pia kujiridhisha kwamba ni kosa gani lililo pelekea avunjwe mkono ama atenguliwe mgongo? Ama ndio tubaki kuamini aliyoyasema CAG (mstaafishwa).
Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Tomaso ukishajua utabadili nini ?!ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande