Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
na mwengine huyu hapa yani tabia mnafanana kwa nini wasikupe pale ccm ukawa kituko kuliko wale makomediInawezekana umekula malimau mabichi na manjaa yako .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mwengine huyu hapa yani tabia mnafanana kwa nini wasikupe pale ccm ukawa kituko kuliko wale makomediInawezekana umekula malimau mabichi na manjaa yako .
Hilo pia mkalitazameNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudiwa watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alipopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Hahahahahamiaka ya nyuma mtoto wangu alikuwa anapenda kuangalia hawa wadudu kwa tabia zao ni kaona wanafanana we mpaka matendo yao wanavompenda bosi wao.
View attachment 3040485
Ziko wapi hizo nyuso?Nyuso za wana Katavi zimejaa furaha na tabasamu tu
Hakuna mchaga mjinga Wala maskini,lakini wewe vyote unavyoMama anashangiliwa Kila kona hapa
Huyu 2025 anavuna kura zote hapa Katavi
Embu ondoa ukabila wako hapa.naona wivu na chuki vinakusumbua sana moyoni mwako.Hakuna mchaga mjinga Wala maskini,lakini wewe vyote unavyo
Na Abdul na Rostam Aziz ni mipango wa Mungu pia?Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.
Wamefanya kosa gani mpaka unawandika hapa jukwaani.Na Abdul na Rostam Aziz ni mipango wa Mungu pia?
Kaa kwa kutulia na ondoa presha . .nawa uso wako vizuri upakae na mafuta .Ziko wapi hizo nyuso?
Hata Fisi wa Katavi pia wanajua Bosi wao kajaNyuso za wana Katavi zimejaa furaha na tabasamu tu
Rais Samia ni kipenzi cha wananchi wanaojitambua ambao kiuhalisia ndio wengi nchini Tanzania.SimamanamamaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudia watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alilopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.
Kwa hakika usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.Usishindane na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe,Usishindane na anayetetewa na kuongozwa na Mungu.Kiukweli Mungu yupo pamoja na Rais wetu na anaendelea kuwa ndani yake na kumuongoza katika hatua apigazo.na ndio maana Tafa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, upendo,utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania kwa sababu linaongozwa na mtu Mwenye kibali cha Mungu na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa baraka na Mungu..View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
ephen_Ndugu zangu Watanzania,

Huo uwili mchafu una afya kwa taifa letu?Wamefanya kosa gani mpaka unawandika hapa jukwaani.