Picha: Mbowe akiwa na watu wake wa karibu ambao wanajulikana kama "machawa" wake

Mbowe ni mwizi sana mchoyo ni mtu mwenye Roho mbaya Dikteta ingawa machoni huzuga kama mtu mngwana , hakuzoea chaguzi kama hii alizoea kupita bila kupingwa, safari hii Lisu kamchangamsha, kamshikisha Adabu mpaka kuwa mwimba Taarabu mipasho na masimango kila akihojiwa na vyombo vya Habari, hata kesho akiongea ataongea masimango kuliko maendeleo ya chama, Mbowe hana Sera hana jipya kapagawa Akili zimedumaa anatumia akili za chawa kulalama hovyo hovyo, Laana ya wizi wa pesa za chama ubaya aliomtendea wangwe, zito na juzi juzi Heche inamtafuna sana
 
Kwahiyo tunakubaliana sasa Zitto "alifanyiwa ubaya" kisa kutaka uenyekiti?
 
Kwahiyo tunakubaliana sasa Zitto "alifanyiwa ubaya" kisa kutaka uenyekiti?
Anza na wangwe aliyeuawa kabsa kisha njoo kwa Zito aliyetiliwa sumu na juzi juzi Heche kaugua sana ilibakia kidogo afariki, Mbowe hataki kusikia mtu anawania uenyekiti kwani amefanya ufisadi wa kutisha anahofia mwenyekiti mpya atampeleka jela kwa wizi wa pesa za chama
 
Mboe ameiba mnoo na legacy anauotaka kulinda ni ya wizi si vinginevyo
 
Mbowe sasa ni shamba la bibi mwanachadema akitaka pesa ya kula anaenda kwake na kumwambia anamchukia Lisu anapewa pesa, Lisu amesaidia chawa kupata ulaji kwa mbowe
 
Saanane aliuliwa na mwendawazimu wa Chato.

Nyie walinda legacy mnaishi kwenye denial bado hamuamini naye kafa tayari na hatorudi.
Aliyehusika kumuua Ben ni ayatola mbowe, tena alimuua kwa tindikali wajuvi wanasema. Mbowe ni gaidi kubwa. Sijui sasa hivi litamtumia nani ili litoe kafara
 
Mbona Salum hayupo??.....huyu dogo nilimfahamia Mbezi akiwa bado mtoto waliishi kwenye naghorofa ya NSSF mama yake alikuwa ITV.....wakati huo nakunywa KIBUKU ya kupima kwa WAMAKONDE nilikuwa naendesha tiper bovu 👍
 
Bila kusahau Yeriko Nyerere ndio kapiga hio picha..
Hapo wenje hayupo, na Kwa utaalamu wangu wa photography interpretation inaonekana ni asubuhi yenye kaubaridi... Inaonekana wenje yupo jikoni kuandaa chai...
 
Wapigaji wakifanya mipango ya upigaji
 
Hii timu imekaa kipigaji sana
 
Huyo mwenye shati ya draft anaitwa Reginald Munisi - Tambaza boy…Mzee wa mipango na Mikakati- ni mkimya Sana Ila mambo yake ni kwenye ground - smooth operator.
 
Dah nikimkumbuka BenS yaani nalia sana. Huyu kigogo Mbowe alimchomekea mwenzake na akamuua ili wapate political justification. Nadhani vijana wa mbowe wajifunze, wasikubali kutumika. Same kwa Sativa.
Serikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.
Aliyemuua Ben ni dikteta kambale mwenyewe.
 
Wapuuz watupu mcheki sugu na yy ndio mana hdi mwanae akamuita Freeman uchawa..hauna usugu wwte ww mfia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…