Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti
Kweli hicho Chama ambacho kinatawala tokea Uhuru hakina lengo la kuleta Maendeleo.
ila chadema chama chenye nia ya kwenda ikulu mnashindwa hata kuwa na ofisiaibu gani mnaonyeshakwa watu wenu? wanachi wenyewe hawawakubali
 
Hahahaaaa....... Godwin Kunambi wa Chadema kawapiga hapo!
CCM sikivu itajenga,hiyo ilikuwa mbinu ya mwana CCM kuwaambia wananchi.Msigwa anaanzisha TV itakayokuwa inaonyesha hii miradi tata
 
Inawezekana ikafika gharama hiyo. Inategemea daraja lilipo, ufikaji wa materials, aina ya mbao zilizotumika.

Mlimba ni moja ya sehemu zenye barabara mbovu sana, kwa kuangalia tu hilo daraja, ni nadra sana magari kufika huko, hivyo hata upelekaji wa hizo mbao unaweza ukawa wa gharama kubwa sana
Hizo Mbao si Zinaoza.

Sasa Mkuu angeweka Nguzo za Zege Na juu angetandika Reli labda ningeona aibu. Ila acha nichukue maoni yako yawezekana upo sahihi
 
Ukiangalia alizidi urefu wa 30 meters.

Wananunua V8 VX hadi za milioni 400 kuwapa ma RC, DC, DED, RAS, DAS, Wakuu wa Idara, W, N/W, Makatibu, SG, KK etc lakini wanashindwa kujenga kadaraja kasikozidi 30 meters.
Mwafrika ni nyani aliyechangamka Behaviourist . Kule kwetu ni moja ya sehemu wakoloni waliishi na kujenga shule miaka ya 1890. Mpaka sasa kuna madaraja yanayoungsnisha vijiji yalijengwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
 
Huo ndio uinjinia wa kisisiem hata nchi Wana iinjinia katika ubora huohuo.
 
Ukiangalia alizidi urefu wa 30 meters.

Wananunua V8 VX hadi za milioni 400 kuwapa ma RC, DC, DED, RAS, DAS, Wakuu wa Idara, W, N/W, Makatibu, SG, KK etc lakini wanashindwa kujenga kadaraja kasikozidi 30 meters.
Ndo huko walikotufikisha tulio wapa dhamana ya kusimamia rasilimali za taifa hili.
 
Hizo Mbao si Zinaoza.

Sasa Mkuu angeweka Nguzo za Zege Na juu angetandika Reli labda ningeona aibu. Ila acha nichukue maoni yako yawezekana upo sahihi
Ujenzi ni suala la ajabu sana, na usiuchukulie poa kabisa, na unaweza kuta mkandarasi aliyefanya hiyo kazi either amerudisha tu hela au kapata hasara.
Unachosema wewe kwa gharama iliyotajwa haiwezekani
 
Hilo daraja sio tatizo. Tatizo hio hela defuuuuuuu kwa thamani ya hilo daraja[emoji38][emoji38]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ukiangalia picha vizuri kuna watu wawili wanateta pembeni.
 
yaani nimecheka hadi watu walioko karbu yngu wameniona chizi kumbe nimekutana na uchizi huku.
 
ila chadema chama chenye nia ya kwenda ikulu mnashindwa hata kuwa na ofisiaibu gani mnaonyeshakwa watu wenu? wanachi wenyewe hawawakubali
Sisi hatujali nakshinakshi za ofisi tunachojali ni Maendeleo ya kweli ya Wananchi wetu wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom