Tozo yako inaenda hapa kijanaKwa hiyo, Samia anasema anaweka tozo kwenye mafuta na simu kwa ajili ya barabara za vijijini, yaani wakazidi kufanya mambo kama haya?
Kwa hizo milioni 31 ningewajengea daraja bora kuliko hili. Angalau columns zingekuwa za concrete na beams za mbao. Kuna siku moja hili daraja litaua, maana hawatajua hizo nguzo za miti kama zimeoza na lita- collapse.
View attachment 1872750
Kwa kuwa unadhani tumeizidi parefu sarafu ya Burundi!Million 31 za Kitanzania au za Burundi?[emoji848]
Mwafrika ni nyani aliyechangamka Behaviourist . Kule kwetu ni moja ya sehemu wakoloni waliishi na kujenga shule miaka ya 1890. Mpaka sasa kuna madaraja yanayoungsnisha vijiji yalijengwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Kunambi ni mtu makini sana ila kwa huu ukaguzi ni UTOPOLO amefanya.
Karne hii ya sayansi na technology unajenga daraja kwa miti? Wameshindwa kuweka column kila upande na beam? Daraja ambalo alizidi 15 meter unajenga kwa miti?
ya miti kama hili?Mwafrika ni nyani aliyechangamka Behaviourist . Kule kwetu ni moja ya sehemu wakoloni waliishi na kujenga shule miaka ya 1890. Mpaka sasa kuna madaraja yanayoungsnisha vijiji yalijengwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Mkuu unatania au?PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
View attachment 1872581
Hawajatoa vipi wakati maisha yao ya kila siku wanalipa kodi? Tena sasahivi kuna tozo ya miamalaKuna watu wanakenua hapa ila utakuta huko ndio kwao na hawajatoa mchango wowote hata kwenye Hilo daraja la miti.
Hapana walitumia frame za chuma, miti ni mbao zilizolala juu tu. Hawakujenga na lami wala zege lakini yamedumu miaka 100.ya miti kama hili?