😂😂Hilo daraja lina tofauti gani na lile walilojenga wasukuma (source:Millardayo)Kunambi ni mtu makini sana ila kwa huu ukaguzi ni UTOPOLO amefanya.
Karne hii ya sayansi na technology unajenga daraja kwa miti? Wameshindwa kuweka column kila upande na beam? Daraja ambalo alizidi 15 meter unajenga kwa miti?
bas na hili litadumu miaka 200 🙄Hapana walitumia frame za chuma, miti ni mbao zilizolala juu tu. Hawakujenga na lami wala zege lakini yamedumu miaka 100.
Vyuma hivi ni imara zadi.bas na hili litadumu miaka 200 🙄
Wadau mbona hamuongelei mda wa ujenzi?PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
View attachment 1872581
vya asili 👌 😎Vyuma hivi ni imara zadi.
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
View attachment 1872581
Mchango upi tena mkuu ,kodi ,tozo na chanjo havitoshi?sio kazi ya wananchi kujenga madarajaKuna watu wanakenua hapa ila utakuta huko ndio kwao na hawajatoa mchango wowote hata kwenye Hilo daraja la miti.
Unanunua gari la mabilioni huku vyoo hakuna